nilizaa na mwanaume mmoja miaka miwili iliyopita kwa ufupi aliniacha kwa vituko na mikasa ila aliendelea kumtunza mtoto,sasahv na hela zangu naweza kumlea mwanangu navyotaka na kumsomesha shule yeyote ile nataka nimblock huyu mwanaume asiwe na uhusiano wowote na mwanangu yan wasijuane pili nimepa mwanaume anayenipenda na anampenda sana mwanangu na anataka kumuadopt nami naona huyu ndio anafaa kuwa baba wa mwanangu kwan alinijal nilipoachwa na huyo fedhul, hii pia nataka iwe adhabu kwa huyo baba halis coz alinifanyia vituko ving na anajidai anampenda sana mwanae