Taratibu wanaharakati wanakata pumzi

Taratibu wanaharakati wanakata pumzi

Jana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo

Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa nishani, palikua kimya tu,halikirushwa hata jiwe kwenye msafara wake

Huenda kuna somo limeingia, tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani

Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma, basi unajidanganya
Jichanganye , more documentaries are coming and for the ecord tu
Mchukiwa hakuhutubia wannchi alipita tu njiani kama moja kwa moja kambini
Angesimama kusalimia kama anavyofanya tungejua the feelings

Lakin words in the streets and mostly cha kushangaza wamama wana chuki isiyo na kifani.
 
Kibaya na kusikitisha:Watu walikufa, mali ziliharibiwa na hata mkiamua kuua zaidi, mtaua tu lkn hamtawamaliza watz wote: Watz wako 65+ Million, hamtaua zaidi ya 1M na dunia ikawachekea tu, kwanza hata hao wauwaji wataanza kuona maluelue.Hata vijana wakitoka hiyo D9 mkaua wote - haitasaidia.Watazaliwa wengine na fujo resistance, chuki itazidi kuwa maradufu.
ACHENI VIBURI, BE HUMBLE, MSIZIBE MASIKIO YENU NA PAMBA, MSIJIFANYE HAMJUI WATU WANATAKA NINI.MSIJIONE NYINYI CCM NDO MNAHATI MILIKI NA HII NCHI.

Tangu dunia imeumbwa, pamekuwepo na madikteta wakutisha, secret police, vyama vyenye ngumu zaidi yenu CCM lkn vyote vilikufa.
Yes, mtaendelea kuua watu wengi, but mnafikiri mtajenga.It will be a matter of time tu...mtaanguka hata kama ni 10 yrs from today, mtaanguka tu na mtalipa kwa mauaji yaliyotokea na watu wanaopotea.
 
Attachments

  • IMG_20251118_141855.jpg
    IMG_20251118_141855.jpg
    95.4 KB · Views: 7
Jichanganye , more documentaries are coming and for the ecord tu
Mchukiwa hakuhutubia wannchi alipita tu njiani kama moja kwa moja kambini
Angesimama kusalimia kama anavyofanya tungejua the feelings

Lakin words in the streets and mostly cha kushangaza wamama wana chuki isiyo na kifani.
Chuki humuua aliyeihifadhi
 
Ndo mnavyojidanganya?
Kulikuwa na machawa wenzio km Sharifu majini ss hivi wako wapi?

Huo mkd unaompa dula usijione na wewe unaweza kututawala. Muda utafika atauchoka atautaka unaobana wa mtoto wako..!!
 
Hizi nguvu za kutukana, mngezihifadhi ziwasaidie D09. Mtafika hiyo tarehe mmeshaishiwa pawa.
 
Kitu wasichoelewa ni kwamba Huwezi Mtoa Rais Madarakani kama wewe hutaki kuwa RAIS,Huwezi Mtoa Mbunge kama wewe hutaki kuwa Mbunge.Hao vijana ambao wana stress za maisha hakuna hata mmoja ambye anataka kuwa hata DIWANI.

Sasa vijana ambao hawana Political ambition ambao wanaongozwa na Mange Kimambe Muuza umbea na Connection au Sativa Mcheza Kamari au yule mtoto wa Sarungi ambaye ni Kuwadi wa Mabepari.Hao wajinga hata ukiwapa kazi ya ukatibu kata hawaweza kufanya ndio viongozi wao.

Tumpongeze Samia na Vyomba vya ulinzi kwa usalama kwa kuilinda Jamhuri
 
Jana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo

Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa nishani, palikua kimya tu,halikirushwa hata jiwe kwenye msafara wake

Huenda kuna somo limeingia, tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani

Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma, basi unajidanganya
Mpaka unaandika uzi wako huu wa kijinga ni ni mwanaharakati katika upande unao ujua au ukupao mlo wa kila siku .

Kila mtanzania achana na Dunia ni mwanaharakati bila kujali ni mazingira yapi anafanyia .

Swali
Kuwa mwanaharakati kwako inamanisha nini,? Jibu then nitakurudia , umekua na mambo ya kijinga sana kupitia post zako
 
Jana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo

Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa nishani, palikua kimya tu,halikirushwa hata jiwe kwenye msafara wake

Huenda kuna somo limeingia, tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani

Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma, basi unajidanganya
safi sana .... endelea kumsafishia njia ya ICC ....... doesn't matter ni 2025 au 2035 ataenda tu
 
Chuki humuua aliyeihifadhi
well in this time, source ya chuki anajulikana. Na akiendelea kukausha ita consume kila mwananchi at last even kutembea nje itakuwa shida kwake, is that the life anataka?
 
Wishful thinking
 
Back
Top Bottom