Taratibu wanaharakati wanakata pumzi

Taratibu wanaharakati wanakata pumzi

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
12,959
Reaction score
15,885
Jana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo

Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa nishani, palikua kimya tu,halikirushwa hata jiwe kwenye msafara wake

Huenda kuna somo limeingia, tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani

Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma, basi unajidanganya
 
Huenda kuna somo limeingia,tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani
Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma,basi unajidanganya
We boya rudi kwenu Chwaka unang'ang'ania Tanganyika tutakukimbiza na chupi mikononi siku yaja
 
Wameanza kufufuka 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
  • Thanks
Reactions: m.k
Jana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo

Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa nishani, palikua kimya tu,halikirushwa hata jiwe kwenye msafara wake

Huenda kuna somo limeingia, tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani

Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma, basi unajidanganya
Eti , kwenye vitabu vitukufu vya Imani yako kuandamana adhabu yake ni kukatwa kichwa?
 
Povu ruksa
Tatizo watu msio na akili mnachukulia matendo ya samia ni matendo ya kiushabiki kama ushabiki wa mipira...Samia ni muhalifu tena mkubwa sana, ukiwa na chembe hata ndogo ya akili utamwepuka haraka sana usije kujisiliba damu za uhalifu wake....sema wengi mnaomshabikia ni wale wenye akili finyu mnadhani haya mambo yapo kwenye hatua ya michezo na matani ...MWISHO WA SAMIA NA GENGE LAKE UMESHA HALIBIKA VIBAYA SANA NI SWALA LA MUDA TU
 
Back
Top Bottom