Kuchelewa kutangaza kunaweza kukatokana na mvutano miongoni mwa washauri wake wakuu kuhusu kuwaingiza au kutowaingiza baadhi ya watu mashuhuri, madhalani Sita, Mwakyembe, Kilango, na Membe kwa upande mmoja na Lowasa kwa upande mwingine. Kuingia kwa yeyote katika kundi hilo la kwanza, katika baraza la mawaziri ni lazima kuibue upinzani mkubwa kwa wanamtandao maslahi. hivyo siyo kasi raisi kuunda baraza linalokidhi matakwa ya wote wenye ushawishi mkubwa kwa JK.