Tarajieni hili...

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Kama Rais hatatangaza baraza lake la mawaziri mpaka kesho, tarajieni baadhi ya vigogo kukimbizwa Hospitali kwa presha, maana utake usitake kuna vigogo wanaamini kuwa wao hawatakosekana kwenye baraza hilo, hivyo kuchelewa kutajwa 'presha inashuka , presha inapanda'
La kufikirika ni kwamba kwa kuwa si muhula wa kwanza kwa Rais na kwa kuwa amechelewa kutaja baraza hilo basi tutarajie mabadiliko makubwa, na kama hakutakuwa na mabadiliko tutajiuliza kwa kuwa si muhula wa kwanza kwa Rais, kuchelewa huko kutaja kumetokana na nini? Wanajamvi kazi kwenu...........
 
Hujui kwanini NEC walichelewesha kutangaza matokeo ya Uraisi? Presdent is using the same strategy
 
Kuchelewa kutangaza kunaweza kukatokana na mvutano miongoni mwa washauri wake wakuu kuhusu kuwaingiza au kutowaingiza baadhi ya watu mashuhuri, madhalani Sita, Mwakyembe, Kilango, na Membe kwa upande mmoja na Lowasa kwa upande mwingine. Kuingia kwa yeyote katika kundi hilo la kwanza, katika baraza la mawaziri ni lazima kuibue upinzani mkubwa kwa wanamtandao maslahi. hivyo siyo kasi raisi kuunda baraza linalokidhi matakwa ya wote wenye ushawishi mkubwa kwa JK.
 
Tafadhali ndugu yangu Byendangwero, tena tafadhali naomba ufute jina la Kilango kutoka list ya watu maarufu. Mtu aliyeingia bungeni kwa wizi wa kura hawezi kuwa kwenye list hii. Ni wachache hapa Dar waliofuatilia uchaguzi kule Same Mashariki, lakini ukweli ni kwamba huko kilichofanyika huko ni wizi na dhuluma tupu
 
mmmh wewe Len huyo mama kakuchakachua nini, maana naona una uchungu!
 
uwezo mdogo mpaka achakachue -can you imagine dar kuna crisis ya maji je maswa? buliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiishit masultani wakoloni weusi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom