Tapeli Wa Bongo

joakina de mello uyo uyo mpenda vijana wadogo almaarufu serengeti boys a.k.a vingast anayevaa cheni za dhahabu miguuni almaarufu vikuku, mwenye **** kubwa utazani kabeba mzigo, mpenda vyeo na nyazifa uyo uyoooooo
 
joakina de mello uyo uyo mpenda vijana wadogo almaarufu serengeti boys a.k.a vingast anayevaa cheni za dhahabu miguuni almaarufu vikuku, mwenye **** kubwa utazani kabeba mzigo, mpenda vyeo na nyazifa uyo uyoooooo

Mkuu umejisajili leo ukaenda kutafuta post ya 2008!! kweli umeamua kutoa ushuhuda!!
 
joakina de mello uyo uyo mpenda vijana wadogo almaarufu serengeti boys a.k.a vingast anayevaa cheni za dhahabu miguuni almaarufu vikuku, mwenye **** kubwa utazani kabeba mzigo, mpenda vyeo na nyazifa uyo uyoooooo
.......kwa kweli sielewi lolote hii post ina maana gani!
 
Ndugu shuhuda kama mnamambo yetu binafsi hapa sio mahala pake na kutaja majina ya watu hadharani ni makosa kwa sheria za hapa unaweza kuadhibiwa na hata huyo dada akiamua kuchukuwa sheria za kinidhamu dhidi yako atapewa ushirikiano wote
 
tangu mwaka 2008 bado tu huyo tapeli anatamba mtaani? kweli nchi haina usalama hii
 
na sisis wabongo tutaingizwa mjini mpaka tutachoka wewe umesomea profesional yako still unatafuta kujuana upate kazi...jamani rushwa hiyo jamani....na nyie mwingizeni mjini...mie nakumbuka nilipokuwa bongo nikaenda TRA maana leseni yangu ilipotea kimachomacho jamaa akataka 20,000 ili nipate leseni yangu siku ile ile I mean duplicate tukaleteana sana hapo midae nikaenda makao makuu nikapewa siku hiyo hiyo bila hongo nikamrudia kumwambia rushwa itakuua na POLICE wapo pale pale lkn nothing did...BONGO SOO matapeli wanakula na POLICE mambo ya 10%
 
SHUHUDA
Junior Member
Join DateFri Oct 2010Posts2Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts Rep Power0

joakina de mello uyo uyo mpenda vijana wadogo almaarufu serengeti boys a.k.a vingast anayevaa cheni za dhahabu miguuni almaarufu vikuku, mwenye **** kubwa utazani kabeba mzigo, mpenda vyeo na nyazifa uyo uyoooooo

Hao wanachama wapya hizo ndizo kazi zao sijuwi kule kwenye Utambulisho (Member Intro Forum) hawasomi sheria za hii
JamiiForums Rules
SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

https://www.jamiiforums.com/utambulisho-member-intro-forum/61941-jamiiforums-rules.html

wakisha kujiunga tu wanaleta maneno

machafu kazi kweli hapa kwetu J.f

tumeingiliwa na wachafuzi wa lugha

 

kwa nini a-edit?,unataka afiche nini?, au na wewe ni walewale?. Hapa ni jamnvini bwana. Unamwaga mpunga watu wanakula. Hataki kufichaficha mambo.
 
Jamani mbona mnatuchanganya hivyo? na wewe Shuhuda haya mambo yalikuwa yamepita siku nyingi umeyafufua au kuna mtu alikutonya kuwa umeandikwa JAMBO FORUM wakati huo ungeacha tu! unajua sometimes unaweza kupanic kuona hivyo mm nahisi kama angekuwa TApeli wangepata ushahidi wa watu kama watatu nadhani ingetundikwa kwenye Udaku. Nilichogundua huyo Taperi ni msomi binafsi siamini kama msomi anaweza kufanya hayo madudu unless awe hana kazi alafu awe ameamua tu kupinda mwenyewe.

Na wewe dada kama umefanya hivyo kwa kutupa taarifa ya huyu Taperi umefanya vyema nadhani ikidhibitishwa kuwa jamaa ni tapeli Sheria itachukua mkondo na hilo litapeli litaozea keko.

Na kama jamaa wa watu umemsingizia sasa itakula kwako maana ili game linakoelekea sasa naona si mchezo maana kunamsemo usemao muosha uoshwa kama ukiwa umemsingizia labda mmegomba kazi kwako.


Na kama mnachezea muda wa watu mna mambo yenu mtarajie burn nyote wawili kutoka kwa wana JF.


Na tujenge Nchi yenye kizazi safi.....
:music:
 
USHAURI WA BURE MUWE MNAJIUNGA NA JAMIIFORUMS NA KUJISAJILI....ona kama huyo jamaa(Tapeli) toka mwaka 2008 anakuja kushtuka leo kuwa kaandikwa humu na unaweza kukuta ni mtu mzuri tu lkn kwasababu ya uzembe wa kujiunga na jamii forums wanamchafua jina lake(KAMA TUHUMA NI ZA UONGO) Na anaendelea kufanya uhalifu bila kujua kama amejulikana(KAMA TUHUMA NI ZA KWELI) kama angekuwa ni mwanachama wa forum angekuwa kayamaliza mwaka 2008 lakini sasa imembidi aanze leo....

USHAURI: Ambao hamjajiunga(guest) mjiunge maana ukijiunga unaweza kusoma kila kitu mpaka JUKWAA LA DINI NA LA WAKUBWA N.K majukwaa memngine mengi tu!
 

naona huyu shuhuda ndie mwakawago mwenyewe. Am conviced ni mmoja kati ya senior jf members aliye amua kusajirg new name ili ajibu mapigo.
 
naona huyu shuhuda ndie mwakawago mwenyewe. Am conviced ni mmoja kati ya senior jf members aliye amua kusajirg new name ili ajibu mapigo.

Inavyoelekea Shuhuda ndie Msema Kweli na ndie Steven Mwakawago-kazi kweli kweli!
 

Huyu mtu ni Tapeli kiukweli haina haja ya kutetea wala kubishana. Ni mnene sana anakaa mitaa ya Tegeta kama sikosei.
Huwa anapenda sana kina dada au kina mama, ametapeli wakina mama wengi sana Tegeta ila wanashindwa kusema, huwa anakaa na namba ya simu chini ya mwezi mmoja anabadili
 
Usishangae mtu kutaka kutoa hela kabla ya ajira,kuna majuha humu nchini hujapata kuona.Kuna juha namfahamu,he quitted his job, alitoka hapa to south africa kukutana na wale jamaa wanaojidai wana hela sierra leone.wakampokea in a 5* hotel kila siku wanakula na kunywa,akatoa na vidola vyake vya kufanyia processing ya hiyo dili.jamaa wakaingia mtini wakamuachia na all hotel bills.ilibidi kichefuchefu kipitishwe kumkomboa huko!acha atuelimishe bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…