Tapeli rachel atafutwe

Walianzia kwenye email, naona sasa wamehamia kwenye utapeli wa kutumia simu!
 

matapeli wamejaa nchi hii,wanatake advantage ya vijana tusio na kazi kutukandamiza zaidi.
 
hahahhaha dah kweli hawa mbwa washenzi hata me pia walinitumia kama hii ila me nikamwambia alipe yeye hiyo 30 then nitamlipa kiiiimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa pumbaf zake,wakajipange upya:nimekataa
 
Hao wamejaa mjini yaani watu wamekuwa na roho za shetani kabisa hivi hizi elfu 30 hata ukipata kwa watu 10 itakufikisha wapi bila kuwa na kitu cha kufanya mtu unatapeli hela ndogo kwa mtu ambaye hana kazi hujui unamzidishia matatizo? Hebu turudi vijijini tukalime ili tuepukane na yote hayo utakuta jibaba limependeza kumbe tapeli watu tuwe makini tuwashushue na kuwaambia ukweli kuwa tumegundua wafanye njia nyingine hiyo imekuwa ya zamani, Mungu awalaani woooooooteeee matapeli
 
nimejifunza aisee and thanks much for the help guys and info as well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…