ni kupitia ujumbe mbalimbali za simu naomba kupaste text niliyoipata leo hii on 30th "Habari, naitwa Rachel From Palmeras Apartments Dar. Nipo kikaoni tunapitia CV tupate majina ya kuinterview for Administration Officer Post, I like your CV na ntakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo. Mshahara ni 1.3million kwa mwezi, ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa laki 2.5 for helping you. If you agree, do the following, by saa 11 jion uwe umetuma scanned copy ya veti vyako yo
visionafrica@gmail.com na sh. elf 30 by Tigopesa kwenye namba 0713749735 au Mpesa 0759923566 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia kwenye e-mail, Nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for interview.