Tapeli ndani ya mabasi ya moshi arusha

Agogwe

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
1,704
2,000
ni leo asubuh ktk gar la abiria naelekea A-city daktar feki wa tiba mbadala alikuwa anajinadi anatibu kisukar,kansa,kuongeza nguvu za kiume,kuondoa sumu mwilin na magonjwa mengi tu kwa siku tatu . Wakati anauza hiyo dawa yake mle ndani ghafla abiria mmoja aliyewah kutapeluwa na dr huyo akaamua kumtolea uvivu ndio watu kushtuka wanatapeliwa nae dr bingwa aka botanist akashuka faster na kupotea akiwa ameshakusanya kitita cha noti.
Nawashaur watanzania wenzangu tujenge mazoea ya kujisomea kupata ufaham wa mambo yanayotuzunguka hutatapeliwa au kudanganywa kizembe namba hii. Nawapa pole waliokaribishwa mjin
 

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,635
2,000
Watz ni rahisi kutapeliwa kiliko nchi nyingine yo yo te kwa kuwa wanaamini miujiza.
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,418
2,000
hahaha mimi nikishapanda kwenye bus ni kuchapa usingizi mwanzo mwisho, gari ikitokea imepata ajali ntakuwa wa mwisho kutoka
 

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
8,937
2,000
ni leo asubuh ktk gar la abiria naelekea a-city daktar feki wa tiba mbadala alikuwa anajinadi anatibu kisukar,kansa,kuongeza nguvu za kiume,kuondoa sumu mwilin na magonjwa mengi tu kwa siku tatu . Wakati anauza hiyo dawa yake mle ndani ghafla abiria mmoja aliyewah kutapeluwa na dr huyo akaamua kumtolea uvivu ndio watu kushtuka wanatapeliwa nae dr bingwa aka botanist akashuka faster na kupotea akiwa ameshakusanya kitita cha noti.
Nawashaur watanzania wenzangu tujenge mazoea ya kujisomea kupata ufaham wa mambo yanayotuzunguka hutatapeliwa au kudanganywa kizembe namba hii. Nawapa pole waliokaribishwa mjin


kwa jinsi ilivyo lazima na wewee muathirika wa hili
poleni
 

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
8,937
2,000
Asiefanya kazi na asile
sasa kama anaongea a unatoa hela mwenyewe kwa nini asile jamani??
 

Daata

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
4,516
2,000
Huwa matangazo ya kwenye gari siyaamini na bidhaa inayonadiwa siiamini vile vile.
 

Fundisi Muhapa

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
4,430
2,000
yes ni hiyo njemba

E bana eee... Iko siku kazua sokomoko kwenye gari baada ya kutahadharisha abiria kua dawa yake uinywe full dozi ikiwa tu mwenza yuko nawe (asiwe kasafiri ama huna hakika atakuja). Wallah aliuza hizo dawa hadi aibu! Anasemaga ni juisi za mitishamba.

Kuna mtu namjua alinunua na kweli akawa anatoka jasho sana na kujihisi mwepesi baada ya kuinywa. Pia alikua anaumwa miguu na kiuno vikaacha hadi leo. Ni tukio la kama miezi 4 ilopita. Sa sijui ni imani tuu...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom