Tapeli huyu jamani

acha ujinga hata wauza dawa walitajwa hadharani soma elewa kwanza
Toa maelezo ya kutosha kenge wewe umetapeliwa vipi? usije kuwa na chuki na mtu halafu unatafuta njia ya kumchafua tu, hao waliotajwa na Bashite ilikuwa kiki ya kisiasa ili kuchafua watu, tangu lini drug lords ukawataja in public?
 
Mimi akinitumia tatumia nguvu, mali na akili zangu mpaka nimshike.Halafu ataniambia vizuri, kwamba yeye ni msemaji wa JESHI au mkuu wa rasilimali watu wa jeshi!
 
Huu ujumbe hata mimi nimepokea leo ila nikauupuzia sikutaka kupoteza muda na utapeli wa kitoto kama huo. Sijui hawa matapeli wanatumia njia gani kupata namba zetu.
 
Hao ni mataperi wanaolindwa na TCRA
Me nilishamtukana huyo jamaa Wa nafasi za Kazi jeshini na huyo mwingine anajifanya mganga Wa super Feo ati Dawa ile imeisha nguvu nikachukue nyingine namba zao ngoja nitizame SMS niziweke

0624742440 Hujambo Mwanangu Supr Feo Mimi Ni Mganga Wako Bibi Kilonzo Njoo Haraka Nikubadirishie NDagu Mpya,ile Imechoka,itaanza Kumwaga Damu,
 
Back
Top Bottom