Tapeli anatafutwa, zawadi nono mpaka million 10 kutolewa

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
Habari wana JF, naomba mnisaidieni ndugu zangu nimetapeliwa Million 68 na laki 7 kutoka kwa kijana mmoja ambaye ni rafiki yangu kabisa anaitwa Felix Alex Mosi au kwa jina lingne anaitwa FEMO, kesi yake ipo polisi Oysterbay anatafutwa kwa udi na uvumba na donge nono mpaka kufikia million 10 itatolewa kwa yeyote atakaye saidia kumpata au wenzie ...
Note, wao wanajifanya wanauza dhahabu
Picha yake hiyo hapo wakuu
Mawasiliano yangu
0715 798710

OB/RB/2432/2016
 
Attachments

  • IMG-20160213-WA0001.jpg
    IMG-20160213-WA0001.jpg
    25.5 KB · Views: 135
Habari wana JF, naomba mnisaidieni ndugu zangu nimetapeliwa Million 68 na laki 7 kutoka kwa kijana mmoja ambaye ni rafiki yangu kabisa anaitwa Felix Alex Mosi au kwa jina lingne anaitwa FEMO, kesi yake ipo polisi Oysterbay anatafutwa kwa udi na uvumba na donge nono mpaka kufikia million 10 itatolewa kwa yeyote atakaye saidia kumpata au wenzie ...
Note, wao wanajifanya wanauza dhahabu
Picha yake hiyo hapo wakuu
Mawasiliano yangu
0715 798710
Pole,sasa hizo dhahabu wewe ungeuzia wapi na ungepata shilingi ngapi?biashara zingine sii za kuingilia pupa
 
Kuna huyu IGP mstaafu mahundi alichukua wale super CID's wastaafu katika fani wakaanzisha kampuni,nadhani wapo maeneo ya sanamu ya bisumini,jaribu ku google utawapata,watakipata tu hiko kijitu watakipeleka polisi.
Kanaonekana kepesi tu kukamatika,hata mie nikikasirika nakutafutia
Mtu kama huyo huwezi kumkosa kwenye starehe na kwenye wanawake
 
Yawezakuwa na kwako kaja na gia ya kukuzia dhahabu?
Mkuu, pole sana na ngoja nianze harakati za kukusaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom