Pichani: Mwizi wa bodaboda anatafutwa, zawadi nono kutolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pichani: Mwizi wa bodaboda anatafutwa, zawadi nono kutolewa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Madoido, Oct 24, 2012.

 1. M

  Madoido Senior Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1 001.jpg


  ndugu wana jf,

  kijana kwenye hiyo picha anafahamika kama godwin allen uisso, mkazi wa tabata msimbazi( lakini sasa hivi amehama na nyumba aliyokuwa anakaa) na simu yake haipatikani toka wiki iliyo pita na ya mke wake pia,,,, majirani na wapangaji wenzake wamekiri kuwa alikuwa na tabia ya utapeliĀ…asili yake ni tarakea rombo

  sasa story ni hivi, mimi nilimkabidhi pikipiki yangu t-better namba t935bua rangi nyekundu kwa makubaliano ya kuleta hesabu kila wiki...na ndio katokomea nayo kusikojulikana...anatafutwa kwa rb no.ob/rb/19001/2012

  anakopenda kutembelea

  1. Kigogo mwisho pale darajani
  2. Tabata
  3. Kimara
  4. Mbagala

  naomba yeyote atakaye muona atusaidie kumkamata na kutoa taarifa kituo cha polisi kilichopo jirani au piga simu namba.0719 575791,,,zawadi nono itatolewa

  asanteni
   
 2. m

  mdunya JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  pole mkuu utampata tu! Hebu mcheki mitaa ambayo haipendelei kama Kigamboni hivi
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  pole sana kwa maumivu hawa vijana wa kiRombo huenda wako kwao Tarakea wanavusha mahindi mpakani Tz na Kenya
  Nakushauri katangaze magazetini hasa Tanzania Daima na Nipashe halafu taja na Dau Nono kabisa usilifiche . Hao wachagga watakujulisha alipo
   
 4. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  mbona mrembo sana huyu? Tembelea Unguja na Pemba huendz kisha wekwa kimada
   
 5. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Duuh sio fair kusema hivyo mkuu.
   
 6. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nakushauri nenda BIMA tu kachukue fedha ya pikipiki nyingine
   
 7. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mkuu unataka kuniambia ukiibiwa chombo chenye bima wanakupa kingine tu kirahisi?

  inawezekana bodaboda lenyewe hata bima halina
   
Loading...