Pole sana Mkuu wetu FIAT na hakika tu pamoja katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya Baba yetu na ninachoweza kusema ni kwamba tumtakie kila la Kheri na Bwana wetu ampe pumziko la milele shambani mwake! Milele na milele!
Kwa hiyo sasa sisi tufanyeje? Kwani hauna ndugu na marafiki wa karibu mnaoweza kupigiana simu mpaka uje kututangazia humu? Si uwapigie Simu ndugu na jamaa zako waliokuwa wanamfahamu Marehemu? Sisi wengine hatukumjua Marehemu, hivyo unapoteza muda tu kutuambia na kututangazia...