Mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee Ilunga
Unatakiwa uwe na akili nyingi sana unapotafsiri mistari ya kwenye Baibo, ukiisoma kwa akili za madrassa utafeli. Sasa kwa tafsiri yako hiyo inamaana hata Shetani nae tumpende maana ni adui yetu namba moja!
Habari nilizozipata punde ni kwamba ustadh Ilunga Hassan kapungu muasisi wa maneno mfumo kristo Tanzania amefariki dunia kwa ugonjwa wa kisukari na baadae figo zake kushindwa kufanya kazi.Ustadh Ilunga atazikwa Leo.