Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Ndio mwenyewe. Alikuwa anasimulia kifo cha Kleruu huko Iringa
 
Waislam hawaitaji mashoga.

Kifo cha Ilunga ni faraja kubwa sana kwa waislam, wakristo na wapagani wapenda amani liache lizikwe lioze lichochezi likubwa lile.
 
Naona maombolezo yamekwisha sasa zimeanza ngumi haya ngoja tuangalie picha la bila kiingilio....
 
Kwahiyo mtu anayehubiri kuuawa kwa watu wengine ndie aliye bora sio? Acheni kutetea ujinga Sheikh Ilunga ni alikuwa amepotoka!
acha porojo lete aya ya qur an sawa?
mbona husemi kukatwa mapanga kwa illunga?au hiyo ndio sawa?
 
Afadhali umejua kuwa wewe ni kafiri kwa kushindwa kuitetea dini yako,haya ww eleza aya ya qur an inayosema kafiri akikuzuieni kumuabudu mola wako umchekelee.
Huyo Ilunga ambae alisema ueni mapadri kulikuwa na Waislamu gani ambao walikatazwa kuabudu? Acheni kutetea ujinga... chanzo cha video ya kipuuzi ya Ilunga ni baada ya Sheikh mmoja kuuawa kule Mombasa ndipo nae akahamasisha Muislamu mmoja akiuawa, ueni mapadri wanne. Kama kweli unaufahamu huo Uislamu, hebu nioneshe hapa hiyo aya inayosema hivyo ukishindwa, nikupe Aya ambayo Sheikh Ilunga aliitumia kwa upotoshaji.
 
Asante Jehova kwa kuwa wewe ndiye Mungu wangu. Asante kwa kuniumba. Ningeumbwa na Allah bila shaka na mimi ningekuwa sawa na kina anti Moody, anti Ally na wale maanti wengi wanaojianika Lango la Jiji na Travatain

Kwani wewe si mwanamke? si nilisoma thread moja vijana wenzako wakikukandia? au sio wewe? FaizaFoxy tukumbushane kuhusu huyu mtu?
 

wewe ni kafiri Kama kafiri mwenzako alien mlilia nyerinyeri bungeni. unajipendekeza kwa makufaar ili wakuone mwema, ALLAH akuonyeshe hakika na akuwezeshe kuifuata la sivyo una mafikio mabaya akhera.

ALLAH Subhana wataala anasema "HAWATOKUWA RADHI MAKAFIRI NA MANASWARA MPAKA TUFUATE MILA ZAO"

Ukiona makafiri wanakupenda, jichunguze vizuri mwenendo wako Kama haujaiacha haqqi aliyo ishusha ALLAH subhana wa subhana
 
Lete aya inayosema Joseph alikuwa na miaka 90, pia Maryam alikuwa na miaka 12, pia lete aya inayotetea mashoga.


LUCIFIER na wafuasi wake hawahitaji aya! Manake aya anapewa mtu msafi na sio wale waliojaa najisi!

Pata habari hapa kuhusu hio ndoa ya mama wa mungu wako aliokuawa mjamzito akiwa na umri wa miaka 12 na UJAUZITO WA MIEZI 10!
Na mume wa MIAKA TISINI!

http://www.newadvent.org/cathen/08504a.htm
 
Tatizo la Mwafrika akiletewa dini basi yeye anaijua kuliko aliyemletea. Dini nyingi tumeletewa na wazungu na waarabu. Sasa tunaanza kugombana na kuitana majina tuliofundishwa na wageni i.e kafir. Mungu atusaidie.

 
Ilunga amededi aende huko tusikokijua kwa amani ila alikuwa ana uchochezi wa hatari sana. Yale aliyokuwa anahubiri SII Dini
 

sawa unachosema msalani lakin tunakumbukwa kwa mambo makuu 2; matatizo tuliyosababisha dunian au solution tulizotoa ili kutatua matatizo.....!!!!
 
Tatzo zile bia alizokuwa anakunywa hapa delux ndizo zilizo mchanganya huyo ilunga!
 
acha porojo lete aya ya qur an sawa? mbona husemi kukatwa mapanga kwa illunga?au hiyo ndio sawa?
Wewe ndo utoe hiyo aya ya Kuran inayosema akiuawa Mwislamu mmoja, wauawe mapadri wanne.... narudia, weka hiyo aya hapa... hata kama haisemi moja kwa moja hivyo, basi angalau inayofanana fanana manake, kwa mujibu wa Uislamu, ingawaje adhabu ya muuaji ni kuaawa, bado kuna taratibu zake za kufuata! Sasa Ilunga anaposema ua mapadri wanne ametumia taratibu zipi?
 

Mbona auweki vifungu vya BIBLE? we ni kasuku nini? mimi nakuwekea evidence za mtume wetu ku share mwanamke na mwanae wa kulea
 
Kifo cha Ilunga ni faraja kubwa sana kwa waislam, wakristo na wapagani wapenda amani liache lizikwe lioze lichochezi likubwa lile.

Ni faraja kwa makafiri waliokuwa wanamuogopa! Lkn kwa waungwana ni msiba mkubwa.
Na hakuna kitu mtampunguzia kwa majungu yenu!
Yule alikuwa simba! Kaondoka ndio tunaona mijusi wanatoka mashimoni na kuropoka ovyo!
Wakati wa uhai wake thubbutu!

mgekamuliwa kinyesi wote nyie!
Lkn tupe muda kidogo tu! Atatokea mwingine mara 10 ya Sheikh lipunga!
God willing!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…