TANZIA: Sheikh Muhammad Bakari

TANZIA: Sheikh Muhammad Bakari

RIP Sheikh Bakari natumaini katika uhai wake hakuhubiri visasi,chuki au kuchinja watu shingo Mungu amweke mahali anapostahili.
 
Samahani Maalim! U Sheikh Ni mtu Tu anaamua kujiita?
Mtu haaumui tu kujiita,ila awe na elimu ya kiwango husika,na kupewa daraja hilo,lakini wengine wamefikia kiwango hicho,hawajiandiki na kujiita sheikh Fulani.Kama wamo madoctor au maprofesa au mainjinia hawajitangazi kwa vyeo vyao.
 
Kwani hakuwa na hadhi ya kuitwa Shekhe?
 
Ahsante sana mwandishi wa makala hii,nilisoma TAMTA miaka 70,na umetupa historia nzuri sana.Nilipomaliza kusoma kwa Al marhum Mwalim Awadhi,nikaenda kusoma na TAMTA,Mwalimu wangu ninayemkumbuka Sharif Hashim,sijajuwa mpaka leo kwa nini hajiiti Sheikh,kigogo huyu wa Elimu,aliyewahi kuwa Mwalimu wa shule ya Secondary.
Kikwajuni,
Sharif Hussein Hashim ni sheikh na anatambulikana hivyo.
 
Skujua kabssa nimepokea kwahuzuni kubwa mno nikigogo mkubwa wa ilim ukweli nikati yamashehe wakubwa. Ktk. Nchii. Yetuu namjua vizuli kipindi nilipokua ktk harakati za. Kuitafta ilimu. Mwenyezii. Mungu. Amuongoze
 
Back
Top Bottom