TANZIA: Rais Mstaafu wa Zimbabwe, Robert Mugabe afariki dunia nchini Singapore alikokuwa anapatiwa matibabu

Famous quotes from the belated:

- False reports of Mugabe dying were a feature of his old age.
2012: "I have died many times. That's where I have beaten Christ. Christ died once and resurrected once. I have died and resurrected and I don't know how many times I will die and resurrect."

- 2013: "(President Barack) Obama came to Africa saying Africa must allow gay marriages... God destroyed the Earth because of these sins. Weddings are for a man and a woman."
 
Alikuwa raisi imara wazalendo wa Africa tunajua...
Cjui lini tena Africa tutapata maraisi mfano wa Mugabe wasioogopa kuwachana mabeberu live
 
Masikitiko yangu ni kuwa pamoja na kukaa madarakani kama rais kwa miaka 37 bado alienda kufia nchi za watu. Miaka yote hiyo akashindwa kuomba hao wa Singapore wajenge hata kliniki yenye hadhi ya kumfaa kutibiwa Zimbabwe?

Ni ishara mbaya na aibu kubwa sana kwa waafrika wote hasa tutakaposhuhudia mwili wake ukipakizwa kwenye ndege kuletwa kuzikwa huku. Ingekuwa amri yangu angezikwa huko huko alikofia.
 
Mbona mwalimu nyerere alifia uingereza?! Mzalendo wa kweli ni Mandela
 
Inasikitisha kwamba viongozi wengi wa Afrika baada ya kupora mali za umma na rasilimali za taifa hukimbilia ughaibuni kwa matibabu ya hali ya juu lakini pindi wakifar\iki huzikwa barani Afika. Hivi Afrika ni bara la makaburi?
 
Eti! Utadhani Afrika ni bara la MAKABURI. Inasikitisha sana kwamba baada ya viongozi wengi wa Afrika kupora rasilimali za taifa huenda kuwekeza Ulaya na wakifa hurudishwa kuja kuzikwa Afrika. Mugabe amekufa kama umbwa hata baada ya kukaa madarakani kwa miaka 37. Kazi aliyofanya kwa miaka yote hiyo ni kuwaua Wandebere na waafrika wenzake huku akikazana kupora hazina ya Zimbabwe. Hili liwe fundisho, ikiwemo Tanzania, hasa wale wanaowatuma watu kwenda mahakamani kuomba kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani uwe wa milele na sio miaka 10 ya sasa. Nao wasipoangalia watakuja kufa kifo cha umbwa koko kama alivyokufa Mugabe. Mungi hadhihakiwi.
 
Pumzika kwa Amani Jongwe Robert Gabriel Mugabe, sote njia yetu ni moja
 


" Mr. Blair have ever listen a Zimbabwean grabing and Claiming a Land in Britain ? so keep your British and let me keep my Zimbabwe " - Robert Gabriel Mugabe
 

"We equally reject attempts to prescribe 'new rights' that are contrary to our values, norms, traditions, and beliefs. We are not gays!" - UN General Assembly, 2015 - Robert Gabriel Mugabe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…