Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,344
- 1,435
Kwaheri babu Mugabe
Kwaiyo kile kikundi cha wajane kijiandae kumtembelea sio!?Na sasa hivi Grace ni mjane tajiri. RIP Mugabe salamu kwa mama Sally Mugabe
Bob na KK haziivi kiivo toka enzi hizo kwa sababu KK alipenda Joshua Nkom awe Rais na ndiyo sababu kuu ya 5thBrigade kuingia kuicrush ZAPU.Baadaye Nyerere aliwapatanisha lakini alikuwa Mzee wa msimamo.Kaunda anawazika rafiki zake wote
Grace mugabe ajiandae kisaikolojia!
😂😂😂Remmy aliimba wimbo wa kifo eti kifo ni kiboko yetu.Lakin kwenye kufa hakubisha
Mbona mwalimu nyerere alifia uingereza?! Mzalendo wa kweli ni MandelaMzalendo kafia Singapore, hawa wazalendo wa Africa shida sana aisee. Tumaini langu ni kwamba miaka yote aliyoongoza Zimbabwe angeweza kuwa amejenga mahospitali ya kisasa yenye kila kitu na amesomesha madaktari wengi wazawa maaa huu ndio msingi wa Taifa lolote duniani lenye dhamira ya dhati kuletea watu maendeleo. Nilitegemea angeugulia Zimbabwe a kutibiwa Zimbabwe labda sasa kama amemjengea kila mzimbabwe uwezo wa kutibiwa nje ya Zimbabwe akiumwa..
Eti! Utadhani Afrika ni bara la MAKABURI. Inasikitisha sana kwamba baada ya viongozi wengi wa Afrika kupora rasilimali za taifa huenda kuwekeza Ulaya na wakifa hurudishwa kuja kuzikwa Afrika. Mugabe amekufa kama umbwa hata baada ya kukaa madarakani kwa miaka 37. Kazi aliyofanya kwa miaka yote hiyo ni kuwaua Wandebere na waafrika wenzake huku akikazana kupora hazina ya Zimbabwe. Hili liwe fundisho, ikiwemo Tanzania, hasa wale wanaowatuma watu kwenda mahakamani kuomba kuongeza muda wa Rais kukaa madarakani uwe wa milele na sio miaka 10 ya sasa. Nao wasipoangalia watakuja kufa kifo cha umbwa koko kama alivyokufa Mugabe. Mungi hadhihakiwi.Masikitiko yangu ni kuwa pamoja na kukaa madarakani kama rais kwa miaka 37 bado alienda kufia nchi za watu. Miaka yote hiyo akashindwa kuomba hao wa Singapore wajenge hata kliniki yenye hadhi ya kumfaa kutibiwa Zimbabwe?
Ni ishara mbaya na aibu kubwa sana kwa waafrika wote hasa tutakaposhuhudia mwili wake ukipakizwa kwenye ndege kuletwa kuzikwa huku. Ingekuwa amri yangu angezikwa huko huko alikofia.
Ana miaka mingapi?Anadunda tena bila magongo
Kuna watu siwezi sema RIP, huyu akalale vibaya tu. Mzee amevuruga maisha ya watu wengi sana Zimbabwe
In pictures: The life of Robert Mugabe
Zimbabwe African National Union (Zanu) leader Robert Mugabe was elected prime minister after the end of white minority rule in the former British colony of Rhodesia (later Zimbabwe).
Mugabe was the only leader Zimbabwe had known since independence. He is seen here, (second from left) in March 1980, with the Prince of Wales, Zimbabwe African People's Union (Zapu) leader Joshua Nkoma and Britain's Foreign Secretary, Lord Carrington.
He came to prominence as one of the leaders of a guerrilla war against white minority rule, along with Joshua Nkomo (left). The pair later fell out.
Mugabe, seen here with UK Prime Minister Margaret Thatcher in 1980, initially pursued a policy of reconciliation with his white former enemies, letting them keep their economic wealth.
Mugabe ruled alongside President Canaan Banana until 1987, after which he took over the role of president
.
Some Zimbabweans say things started going wrong when he married his young secretary, Grace, in 1996. The pair are seen here while on a tour of Vietnam in 2001.
1995 Mugabe met US President Bill Clinton, but back home the economy slumped. He faced new opposition but he
came out fighting
.
Mugabe reverted to the mentality of the guerrilla fighter, blaming his problems on white Zimbabweans and Britain, the
former colonial power.
From 2000 onwards, former guerrillas rallied behind their leader and became a militia
force.
They attacked opposition activists and spearheaded the seizure of white-owned farms.
I
More than 100 people were killed in two violent election campaigns, which left Mugabe in power but complaining of a Western plot to undermine him.
A staunch Catholic, he said his prayers had been answered with the "defeat" of his enemies and the seizure of most
white-owned land
.
As Zimbabwe's economy went from bad to worse to disastrous in the 2000s, Mugabe's political and physical demise was predicted many times. In March 2008, his future looked more uncertain than ever as Zimbabweans voted in presidential
elections.
I
After failing to win enough votes to avoid a run-off with opposition challenger Morgan Tsvangirai, Mugabe displayed characteristic defiance, swearing "only God" could remove him from office. In the event, in the face of increasing political violence from ruling party supporters, Mr Tsvangirai pulled out.
The economic meltdown continued, and Mugabe agreed to share power with his long-time rival, who became prime .
minister
Although predictions of Mugabe's demise always proved premature, the mounting pressures took their toll. In 2011, a US diplomatic cable released by Wikileaks suggested he was suffering from prostate cancer.
This stoked numerous media reports about his health. "I have died many times - that's where I have beaten Christ. Christ died once and resurrected once," he said on his 88th birthday.
Famous quotes from the belated:
- False reports of Mugabe dying were a feature of his old age.
2012: "I have died many times. That's where I have beaten Christ. Christ died once and resurrected once. I have died and resurrected and I don't know how many times I will die and resurrect."
- 2013: "(President Barack) Obama came to Africa saying Africa must allow gay marriages... God destroyed the Earth because of these sins. Weddings are for a man and a woman."