Tanzia: Poleni wana CCM wa Tanga kwa kuondokewa na Mzee Makallo na Mzee Kigovya

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
13,142
6,947
Poleni sana wanachama,wapenzi,wakereketwa na wanafamilia kwa kuondokewa na na wanachama wawili na waliowahi kushika uongozi tofauti kimkoa na kitaifa ,wa chama cha mapinduzi,Mzee Makallo na Mzee Kigovya.

Mungu awaweke mahali pema peponi,kwa jitihada kubwa za kuendeleza jiji la Tanga na Taifa kwa jumla.
 
Misiba iko wapi?
 
Mleta habari wewe Zirail mtoa roho?


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…