Tanzia: Mwl wangu Mvungi atuko naye

Tanzia: Mwl wangu Mvungi atuko naye

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,589
Habarini wapenzi marafiki zangu

Tangia nilipopata taarifa hii jana sikuelewa vizuri na wala
sikutambua vyema why why imekuwa hivi jamani
Sitamsahau Lecture wangu Dr. Mvungi kwani ameshatutoka
katika uso huu wa dunia, sitamsahau kwa yake mengi mema
mazuri aliyoyafanya hapa Tanzania.

Najiuliza kwanini watu wema wanaondoka kirahisi rahisi namna
hii? kwanini watu kama hawa wanapotea bila kueleweka nabaki
sina la kusema mwenzenu

Nakumbuka kitabu chake cha Sekondari cha mashairi nimekisahau jina
marafiki nikumbusheni kama mnakijua nanyi. Kweli AMETUTOKA
kipenzi cha wanafunzi wengi hapa Tanzania. Pokeeni Faraja ya Mungu
familia yote aliyoiacha na wanafunzi wote tufarijike kwani ametoa na
ametwaa jina lake lihimdiwe.

TUTAKUKUMBUKA DAIMA MWL DR. S. MVUNGI
mvungi.jpg

Dr. S. Mvungi
 
Pole sana!
Inshot Taifa limepoteza Msomi , aidha Mwana wa Harakati .
R. I . P Doctor
 
pole jamani
kweli serikali imempoteza mtu mhimu sana kwetu
 
Alazwe mahali pema Lecture na Dean wangu wa pale Mlimani Dr Mvungi
Roho yake ipumzike mahali pema
Ameondoka wakati bado taifa linamtegemea
 
ndo ametutoka binamu sijui tutakuwa wageni wa nani katuachia katiba wala haijaisha nawe ndiye aliyekuwa mhimili sana ameniuma kweli nililia sana jana nilipopata kataarifa hako kwani sikutegemea best

Alazwe mahali pema Lecture na Dean wangu wa pale Mlimani Dr Mvungi
Roho yake ipumzike mahali pema
Ameondoka wakati bado taifa linamtegemea
 
mwenzangu besti nimeona tena sana huku nikikodoa :shocked:
imenibidi nimuulize kulikoni mitambo kugeukageuka kama kinyonga?
Mkuu hapa naona mitambo ilikengeuka!

Umeona hii kitu ilikuwa inaenda kwingine!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom