Ndio nani huyu?Mkoa wa Ruvuma umepokea taarifa hii kwamasikitiko sana,
Tumepoteza Moja ya Jembe kubwa sana ndani Ya mkoa
Apumzike kwa Amani.
BodabodaWho is this guy?
Bodaboda maarufu Ruvuma au sioBodaboda
Ndio mkuu, sasa mtu anaandika Mada robo robo na sisi tunajiongezaBodaboda maarufu Ruvuma au sio
😀😀Ndio mkuu, sasa mtu anaandika Mada robo robo na sisi tunajiongeza
Alijitahid kuwekeza nimoja ya mfano wakuigwaHuyu mzee anaitwa Titus,alikuwa m/kiti Jumuia ya wafanyabiashara mkoa ruvuma,pia ni mkulima hodari wa mahindi mkoa wa ruvuma,anamiliki jengo la kibiasha/ghorofa/hotel maeneo ya stand kuu ya zamani Songea mjini. Pia anamiliki kiwanda cha kutengeneza mifuko/vifungashio maeneo ya Ruhuwiko Songea,Pia ana magodaun makubwa ya kuhifadhia nafaka maeneo hayo hayo ya ruhuwiko Songea.R.I.P mzee Mwilamba,mzee wa watu