TANZIA Mwanachama wa JamiiForums (kutoka JF Arusha Wing), Easymutant afariki dunia

Duh!! Mwenyezi ampunguzie adhabu ya kaburi
Mungu ampunguzie adhabu za kaburi



Cc Smart911
Apumzike kwa amani.
oohh poleni
Raha ya milele umpe eh Bwana na Mwanga wa Milele umwangazie apumzike kwa amani. Amina
Raha ya milele umpe eeh bwana .... Na mwanga wa milele umwangazie ..... Apumzike kwa amani ..... Amina
Kifo hiki kimenitoa machozi sana ila kwa sababu maamuzi ya Mungu hayana kupinda itoshe kusema tangulia mbele ya haki.

Bwana Ametoa Bwana Ametwaa.
Mungu muumba wa mbigu na Dunia, mpe rafiki yangu pumziko la milele katika shamba la Bwana, Apumzike kwa amani baada ya mateso na taabu ya ulimwengu huu ambapo sisi ni wachafuzi kila kukicha Bwana wetu
Kila msiba una majonzi, nahuenda sie tulio napumzi mpaka sasa tunajipa kiburi hata kushindwa kuitengeneza Amani na Pumziko la.milele ambalo Mungu angetupatia pindi ambapo tutarudi mavumbini.


Mwenyezi Mungu atusaidie sisi ambao tupo hai hii leo, kuweza kuzitazama njia zetu palipopunguka tuparekebishe ili siku tukiacha Hii Dunia basi tuwe tumetengeneza mahali sahihi pa kupumzikia.


Ni hayo tu wakuu.!!
 
Filipo,

MKUUU UBARIKIWE SANA KWA TAARIFA UNGEWEKA NA NAMBA ZA WAHUSIKA MWENYE RAMBI RAMBI ATUME HOPE ZIWE SAHIHII....

NIMEKUWA NIKIWAZA MBONAAA ATUPEANI POLE MNS AWA MEMBER WA JF WOTE N WAZIMA

NAAMIN UMEKUWA MFANO JAMAN TUKISIKIA MEMBER KAFA TUPEANE TARIFA TUSHIRIKIANE USIZIKE KIMYA KIMYA NJIYA YA WOTE ...


Taratibu ya mchango wa rambirambi tunaiandaa na itawekwa hapa na Filipo bila ya kukosa na nina hakika taratibu zote zitakuwa wazi Kiongozi wetu!
 
Back
Top Bottom