Tanzia: Mwanachama mwenzetu wa JamiiForums, Msamiati afariki dunia

inahuzunisha sana.... pole kwa wafiwa.... na jf members wote.
 
RIP Msamiati na hongera kwa kutangulia japo tusingekupokea hicho kijiti.
 
* inna LiLLaah wa inna iLayhi Rajioun*
Poleni wafwa... na Marhm. Alazwe pema,
Amin. Nini chanzo cha kifo chake??
 
Mungu watie nguvu wanafamilia na nduguze wa karibu pamoja na familia ya Jf. Ni njia yetu sote tujiweke tayari wakati wote.
Amen
 
Back
Top Bottom