unique vee
Senior Member
- Jul 9, 2016
- 128
- 172
TANZIA:
MWANA JF MIGUU YA KUKU/ MPAUKO HATUNAE DUNIANI
Kwa mujibu wa rafiki yake wa mitandaoni ni kuwa Mpauko / MIGUU YA KUKU alifariki tarehe 23 /01/2020.
Chanzo cha kifo chake ni kujinyonga lakini hakuna taarifa ya sababu ya kujinyonga.
Rafiki yake anasema alipotezana nae mtandaoni toka January hiyo na alikuwa akituma txt za kawaida kwenye namba zake tatu hazifanikiwi kumfikia.
Akajaribu tena jana jJmapili tarehe 23 asubuhi txt zikapokelewa na kujibiwa kwa ukali kidogo na simu kufungwa. Rafiki yake alituma txt zaidi zilizopokelewa jioni na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mdogo wake. Mdogo wake huyo ndiye alietoa taarifa ya kifo hicho.
Marehemu alizikwa kwao Iringa
Amewahi andika:
1) Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?
2) Maisha yamekuwa hayana jema kwangu nashangaa kwanini sifi
3) Kwa wenye huruma tu! Nahitaji ajira niweze kuishi
4) Mengine haya huumiza, Tusaidiane...
5) Mrejesho: Naomba msaada wa ada
6) Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana