hao Jambo Leo kwa nini wasingesubiri?Huyo wa Majira nafikiri ni typing error!, Jambo leo nafikiri walikuwa hawajapata tamko la mwisho la familia na serikali, maana kuliwa na mvutano kidogo kuhusu siku na mahali pa kuzikwa.
hahaha! au Majira wanawaza uchaguzi tu!!? oktobaHuyo wa Majira nafikiri ni typing error!, Jambo leo nafikiri walikuwa hawajapata tamko la mwisho la familia na serikali, maana kuliwa na mvutano kidogo kuhusu siku na mahali pa kuzikwa.
Siwezi ku-comment kwa sasa mpaka ithibitike.
sasa hapo umefanya nn mku...umevua nguo?
Mimi NI MKRISTO (RC) huwa namkubali sana Mufti pamoja na sheik mkuu wa Dar-es-salaam wote wawili hawa wanaupeo wa hali ya juu sana hakika tumepoteza mtu muhimu sana, R.I.P Sheikh mkuu wa tanzania ,MUFTI ISSA BIN SHAABAN SIMBA.
Kuna watu wapo humu JF huchangia thread za kidini tu. Ndiyo hao wanaobadilisha thread za siasa na kuzifanya za kidini!!
Naona wengi kama wewe wanamlilia sannna kwa sababu mlikuwa na maslahi nae.Sisi waislamu tunamlilia mtu aliyeacha athari(FAIDA)kwetu .Watu kama hawa chini
SHEKH MOHAMED AYYUB
SHEKH MOHAMED RAMIA
SHEKH NURDIN HUSEIN
SHEKH ILUNGA HASSAN
MUFT wa kwanza SHEKH HASSAN BIN AMIR
SHEKH SHARIF JUNEID
SHEKH NASSOR BACHU
SHEKH ALI MZEE KOMORIA
Wapo wengi sana nafasi haitoshi lakini Mungu ndo anajua zaidi anvyowapokea
katika uislamu mtu akifa mambo yake yote hufa isipokuwa mambo matatu .
1:WATOTO WEMA WENYE KUMUOMBE DUA MZAZI: Sio unaacha walevi,wazinzi hata ibada au maombi yoyote hawafanyi
2:ELIMU YENYE KULETA MANUFAA..:Awe amefundisha elimu yoyote na ikaleta faida kizazi hadi kizazi
3:SWADAKA YENYE KUENDELEA:Ni sadaka ambayo itaendelea kutumika kwa faida ya umma na mungu kama shule,madrasa ,kisima nyumba itakayotumika ktk mambo ya mungu au ktk jamii lakini isiyo yenye maasi mfano ni wakfu. Hapa sio ubwabwa unakula baada ya masaa matatu ..unaenda......
Hayo ndio mambo matatu ambayo mtu yeyote akifa yanaendelea kumpa thawabu.
mungu amuweke mahala panapostahili
amin!!
Naamini Mufti alikuwa mtu mwenye hekima, upendo na busara ndio maana nikasema tutamkumbuka hata sisi wakristo kwa mchango wake katika jamii ya Watanzania na nina uhakika mahali anapostahili ni mahali pema peponi -AMINA
Angalia kurasa hizi za magazeti haya ya leo Juni 16, 2015 kisha soma uandishi kuhusu Kifo cha Sheikh Simba (na mazishi yake). Huo utofauti wa habari umesababishwa na nini wakati taarifa ilotolewa ni moja?
hawa wana habari zao;
Jambo Leo: Atazikwa Shinyanga Alhamisi (Juni 18, 2015)
Majira: Atazaikwa Oktoba 18
na hawa wana yao;
Uhuru: Atazikwa Leo (Juni 16, 2015)
Habari Leo: Atazikwa Loe (Juni 16, 2015)
Huyo wa Majira nafikiri ni typing error!, Jambo leo nafikiri walikuwa hawajapata tamko la mwisho la familia na serikali, maana kuliwa na mvutano kidogo kuhusu siku na mahali pa kuzikwa.
Ilikuwa Shinyanga mazishi ya Mufti.
Kama zoezi dogo kashindwa kukagua gwaride ugenini itakuwa aibu kwa Watanzania wote
Source ITV habari jana