TANZIA: Msanii Mfaume Selemani "Dogo Mfaume" afariki dunia

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Msanii Dogo mfaume wa kibao cha "Kazi yangu ya Dukani" amefariki dunia

Video ya ndugu wa marehemu akielezea


Mfaume Selemani ''Dogo Mfaume'' alikuwa Sober House (alikuwa akipata matibabu ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya)

Marehemu alikuwa amepangiwa kufanya Operation ya Kichwa (ambapo alikuwa na Uvimbe) siku ya Ijumaa.

Kulikuwa na mjadala mrefu juu ya Marehemu kuathiriwa vibaya na matumizi ya Dawa za Kulevya hapa JamiiForums, soma - Dogo Mfaume (mzee wa kazi ya dukani) anateketea kwa madawa ya kulevya

IMG_6694.JPG



Huu ndio wimbo wake maarufu - Kazi ya Dukani
 
Huyu si alikuwa anatumia madawa ya kulevya? Na alikuwa sober house?

Inasemekana alikuwa na uvimbe kichwani na alitakiwa afanyiwe operation leo.... Ila ametutoka kabla ya kufanyiwa operation poleni sana wanafamilia marafiki na majirani.
 
Back
Top Bottom