Tanzia: Mohamed Mlamali Adam afariki Dunia

Tanzia: Mohamed Mlamali Adam afariki Dunia

baada ya kusoma nakala nilichogundua, ni kwamba alifukuzwa Zanzibar mwaka 1968 kwa kutaka kumpindua Karume, Ana bahati sana hakuuwawa kama mwalimu wake Kasimu Hanga
 
Kwa watu waliokomaa, wala sioni tatizo kuongelea Waislamu kama Jumuiya ya watu, yenye tamaduni zake na ada zake. mimi niliye Mkristu tena wa kutosha tu, siogopi kamwe. ni vizuri kuwajua wenzio ili mwende sawa.
Inategemea unawazungumzia kwa muktadha upi ndugu, huyo niliye quote anazungumzia Waislam walitoa ushirikiano kwenye uhuru kwa hiyo wanatakiwa waangaliwe kama Waislam na sio kama Watanzania, huu ni ujinga kutaka kundi fulani liangaliwe kwa namna tofauti ili kupata favor fulani, ujinga wa kuanza kujitenga huanzia hivi hivi
 
Hivi majarida ya Africa Now na Africa Events yalikuwa "dugu moja"?
 
ama kweli mlamali adam japo nilimupna mara moja jijini london lakini siku zote nilikuwa nauga uandishi wake
 
Dah kumbe waislam tuna mchango mkubwa sn katika hii nchi pia ilikuwa na wasomi welevu kiasi hiki, waislam tulikwama wapi enyi ummat Muhammad nini tatizo!!
Ni kweli waislamu walichangia sana kwenye Uhuru wa Tanganyika kutokana na wengi wao kutokuwa na ilmu dunia kwani walijikita sana kwenye madrasa na kushinda misikitini mpaka usiku. Tatizo moja ni kuwa miaka hiyo waliamini ukienda shule utabadilishwa dini, jambo ambalo halikuwa kweli kwani mimi nilisoma shule ya misheni Katoliki lakini hatukuhusishwa na dini japo kanisa lilikuwepo karibu ya shule.
 
Ndefu sana ngoja nipeleke gari likaoshwe kwanza nitarudi
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Uandishi wa Ahmed Rajab kwenye kueleza tukio huwa fasaha na wenye mtiririko mzuri. Hauweki ubinafsi wa 'ukubwa' kwa kujificha hata kama kuna pahala dhahiri ameshiriki au kumshika Mtu mkono.

Kwa upande wa Mohammed Said, naye ni mwandishi mzuri lakini mara nyingi huongeza mistari mingi pasi sababu au kuonekana zaidi kwenye maandishi kuliko anayefanyiwa taazia. Hapa utaona kuna wakati ukiwa unasoma ukifika katikati unaweza kusahau kama hii ni taazia ya Mtu flani tena wa kutajika.

Huu ni mtazamo wangu

Rip Mzee Mlamali.
Nimekumbuka enzi za Bbc nikiwa na umri mdogo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mohammed Said huwa anataman sana kufupisha kama mwl wake lakn tatizo utamu wa alivyovibeba unamshinda anajikuta anaeleeza kila kitu. Napenda uandiah wake kwasabb muda mwingine humfanya mtu kuingia tanganyika library kuanza kuperuzi naakala fulan fulan

Rip mwalimu mzee Mlamali. Pole sana Mohammed kwa kuondokewa n.a. Mwl wako.

Kilichonifanya nifikiriw zaid ni "he mm kama mwl nini mwanafunzi wangu anaweza kunisifu nacho" he ni kumaririsha kanuni tuu ama ni kumpa elimu ambayo so ya kufaulia mtihan bali ya kuiishi? Ina fikirisha sana
 
Inategemea unawazungumzia kwa muktadha upi ndugu, huyo niliye quote anazungumzia Waislam walitoa ushirikiano kwenye uhuru kwa hiyo wanatakiwa waangaliwe kama Waislam na sio kama Watanzania, huu ni ujinga kutaka kundi fulani liangaliwe kwa namna tofauti ili kupata favor fulani, ujinga wa kuanza kujitenga huanzia hivi hivi
Niseme hivi, binafsi nimeona tatizo kwenye historia yetu iliyoandikwa, kueleza harakati za uhuru. kama hao wengine wangetajwa tu kwa majina yao bila kuelezea dini ya Uislam, tusingefika hapa tulipo. Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amepambwa mno kupita kiasi, na hao waliomsaidia kwa hakika wamepigwa kumbo. hiyo siyo haki. ukweli usemwe.

Na kama Waislamu wanalalamika kukandamizwa, usuluhisho ni kuwasikiliza na kufikia muafaka.
 
Basi Waislam waanzishe chama chao cha siasa basi kama wanaona wametengwa sana kwenye hii nchi
 
Dah kiongozi umenena sn waislam tumesaulika sn .
Niseme hivi, binafsi nimeona tatizo kwenye historia yetu iliyoandikwa, kueleza harakati za uhuru. kama hao wengine wangetajwa tu kwa majina yao bila kuelezea dini ya Uislam, tusingefika hapa tulipo. Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, amepambwa mno kupita kiasi, na hao waliomsaidia kwa hakika wamepigwa kumbo. hiyo siyo haki. ukweli usemwe.

Na kama Waislamu wanalalamika kukandamizwa, usuluhisho ni kuwasikiliza na kufikia muafaka.
 
Wazee wetu wa kiislam walimpokea mwalim kwa utu na ukarimu wote, mwalim kwa shukran ya punda aliamua kuwafunga na kuwaua waislam ,historia imezimwa kama mshumaa anayesikika ni mwalim tu na si takadiri, mshume wala azizi ally! !wallah waislam amkeni imetosha tudaini haqq yetu omar bin khatwab(r.a) asema "simamia simamia ukweli ata kama ukwel utasababisha umauti kwako, ndugu zetu waliuliwa mwembe chai, ndugu zetu waliuliwa zanzbar viongozi wetu wa dini wameshikwa katika majera mbalimbali bila kesi kusikilizwa, dhulma juu ya dhulma.
 
Innah lillah wainnah illahiy rajiuun
 
Kwa watu waliokomaa, wala sioni tatizo kuongelea Waislamu kama Jumuiya ya watu, yenye tamaduni zake na ada zake. mimi niliye Mkristu tena wa kutosha tu, siogopi kamwe. ni vizuri kuwajua wenzio ili mwende sawa.
Ahsante,hata mi muislam namsoma Martin Luther jr kwa furaha kabisa au Mwalimu Nyerere aliyeupenda ukatoliki wake,jamani huwezi kumng'oa mtu kwenye mizizi yake,sisi yetu ni kula matunda tu.
 
Waislamu wamechangia Mengi sanaa, sana East Africa youte! Lakini ndo hivyo historia imebanwa.
Dah kumbe waislam tuna mchango mkubwa sn katika hii nchi pia ilikuwa na wasomi welevu kiasi hiki, waislam tulikwama wapi enyi ummat Muhammad nini tatizo!!
 
Poleni wafiwa, lakini mleta mada, huu uzi umekuwa mrefu mno
But mkuu hujalazimshwa kuusoma,why hukupotozea baada ya kuona ni uzi mrefu,kabla ya kulalamikia masuala muhimu ,unalalamika kuhusu urefu wa uzi na NO ONE FORCED YOU TO READ IT.
 
Back
Top Bottom