TANZIA: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege afariki Dunia

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,689
55,661
1453105264711.jpg


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa katika mazoezi ya kuogelea.

Taarifa zinaeleza kuwa baada ya tukio hilo Bwa.Suleiman alikimbizwa hospitali ya Agakhan kwa matibabu na baadae ikaelezwa kuwa amekwishafariki na kuwa mazishi yanatarajiwa kufanyika leo.

Marehemu alipata kuwa Katibu mkuu wa Simba alikopewa jina la Yelstin.

Taarifa zaidi tutazidi kufahamishana kadiri ya zikavyokuwa zikiingia.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN.
 
Huyu pichani,Mungu aipe subira familia yake wakati huu wa majonzi.
 

Attachments

  • 1453105264711.jpg
    1453105264711.jpg
    29.9 KB · Views: 84
Huyu jamaa alifanya documentary na mwandishi wa tbc juzi juzi , alikuwa anajisifia sana namna alivyoboresha viwanja vya ndege tz. RIP
 
With deep sorrow, I wish to inform you that Eng. Suleiman Said Suleiman, the DG TAA, passed away yesterday.

Information received from staff of TAA at TB1 confirms that Eng. Suleiman drowned as he was swimming in the Indian Ocean behind the State House. The information further says that onlookers who saw him drowning, rushed to rescue him but he had taken too much salt water!



May His Soul Rest in Eternal Peace. AMEN
 
La hawala wa laa Quwata ila BiLLaah !!
Inna LiLLahi wa Inna ilayhi Rajioun... Moula amlaze pema...
Na Pole kwa wafiwa Mupewe Subira kuhimili msiba huu !!
 
Back
Top Bottom