mtanikumbuka
Member
- Jan 14, 2017
- 67
- 73
Ameeenapumzike kwa amani wifi yetu.
pole sana mzee kipara
Aminainna lillah wainna ilayhi raji'uun
Poleni sana ndugu na jamaa. Mungu amlaze mahali pema peponi AMINARafiki yangu kipenzi babu kipara wa vingunguti anadikitika kutangaza kifo cha mke wake kipenzi aliyefariki juzi hospital ya muhimbili baada ya kufanyiwa operation ya uzazi, shemeji katuachia mtoto mchanga tumpeni moyo kaka yetu
Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe....... [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Hii maana yake nini?inna lillah wainna ilayhi raji'uun