Mke mdogo wa aliyekuwa muimbaji wa miondoko ya taarabu mfalme mzee Yusuph aitwae Chiku amefariki usiku huu katika hospitali ya Amana alipokwenda kujifungua
Chiku amefariki yeye pamoja na mtoto pia amefariki
Taarifa zaidi nitawapatia ndo tupo huku msibani tukimfariji Mzee Yusuph.