makundi4619
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 486
- 141
Lol! Mkuu watu8, Wasukuma wa bonde la Usangu wakikusikia ukisema huyo mama RIP watatamani wakuloge na wewe,kama tunavyoweza kuamini kuwa walimloga mmbabe huyo aliye kuwa akiwacharaza viboko wasukuma wa bonde la usangu na kuwatia hasara kubwa sana kwa kutaifisha mifugo yao. Kama unaamini uchawi basi huyu mama kalogwa na wasukuma waliodhurumika dhuruma kuu chini ya uongozi wake alipokuwa mkuu wa wilaya ya Mbarali.
Wewe acha za kuleta wote wanaokufa kwa cancer wamelogwa na nani? Unaujua ugonjwa utakao kuua? Fikra kama hizi ndizo zinazosababisha maendeleo kurudi nyuma. Kila kitu kutafuta kisingizio cha rejareja. Tuwe na mtazamo wa kisayansi watanzania tuache ushabiki.
