Tanzia: Mama Hawa Ngulume afariki dunia!

Tanzia: Mama Hawa Ngulume afariki dunia!

Kweli Mtu akifa Wanadamu tuna aibu na Kuanza Kuyasahau Mabaya Yake, Ila kwenye Harakati za Kuhamisha Watu Kule Ihefu / Huyu mama ali-practice Cruelness!! Nikuwepo Mitaa ya Madabaga, Mbuyuni, Uturo na Kapunga!! Heri Wasukuma wa Kule hawasomi Mitandao Ila nadhan Wangefanya Sherehe!!
 
RIP mama...mema yako yakupok3 huko uendako,.mwambie Nyerere nchi ishakuwa makapi
 
Kweli Mtu akifa Wanadamu tuna aibu na Kuanza Kuyasahau Mabaya Yake, Ila kwenye Harakati za Kuhamisha Watu Kule Ihefu / Huyu mama ali-practice Cruelness!! Nikuwepo Mitaa ya Madabaga, Mbuyuni, Uturo na Kapunga!! Heri Wasukuma wa Kule hawasomi Mitandao Ila nadhan Wangefanya Sherehe!!

Kwa ukweli huyu mama alikuwa Baunsa; anazijua ngumi na alikuwa anatumia ubabe kila kona haogopi Mwanamume au Mwanamuke wote kwake anaona kama watoto wake. Ukiongea naye yakubidi kuchukua hatua usiwe karibu naye unaweza kushitukia ngumi imerushwa.

RIP Mama

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu. Apumzike kwa amani!
 
Kweli Mtu akifa Wanadamu tuna aibu na Kuanza Kuyasahau Mabaya Yake, Ila kwenye Harakati za Kuhamisha Watu Kule Ihefu / Huyu mama ali-practice Cruelness!! Nikuwepo Mitaa ya Madabaga, Mbuyuni, Uturo na Kapunga!! Heri Wasukuma wa Kule hawasomi Mitandao Ila nadhan Wangefanya Sherehe!!

...Imeishatangazwa Radioni. Bila shaka wameishasikia...
 
Nilishachanganya madawa hapa, nilidhani ni Hawa Ngu'mbi! anyway..Lala salama Mama! mungu atakufufua siku ya mwisho!
 
RIP Mama Hawa Ngulume.

Sasa sijui leo Serikali wataenda katika msiba wake. Kwani walimtelekeza pasipo msaada wowote huyu mama, Yaani mafisadi wanafikiria pesa tu na siyo kuwahudumia Watanzania. Alishatoka katika Gazeti analalamika Serikali imemtelekeza akiwa anaumwa lakini kipindi kile walimtumia sana na tena alikuwa mbabe sana huyu mama, na kwa kutetea sheria walizoweka waliomtelekeza.

Namkumbuka akiwa mkuu wa Wilaya Bagamoyo alivyowachapa mangumi ya kiuhakika madereva na makonda wa mabasi ya Bagamoyo - Mwenge

Rest In Peace mama yetu.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Apumzike kwa amani mama yetu na iwe fundisho kwa wengine wanotumiwa!
 
Pumzika kwa Amani Mama.

images

Halima Mdee anajua shughuli ya huyu Mama...enzi hizo aliwahi mtandika kofi Mdee mpaka akaona nyotanyota,alikuwa mbabe sana!ila wafugaji wa Bonde la Ìhefu na ardi oevu wa Mbalali wanajua kazi yake,alikuwa anawachapa Wasukuma fimbo za ****** mpaka wakahamia Mtwara bila kupenda
 
Apumzike kwa amani. Magomeni kusainisha fomu ilikuwa issue enzi zake. Nakumbuka nikienda kwa Makamba nikasainiwa na Katibu Tawala (M). Ni vizuri tutende mema tukiwa hai, ili kifo kinapotukuta, tusiwape shida wasibishaji (MC wa msibani) kutafuta mambo mema ya marehemu. R.I.P Hawa.
 
Back
Top Bottom