Tanzia: Katibu wa CCM wilaya ya Ilala afariki kwa ajali ya gari Morogoro

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,366


Kiongozi huyo ndugu Joel Kafuge amepatwa na mauti mkoani Morogoro kutokana na ajali ya gari .

Taarifa hii imethibitishwa na RPC mpya wa Morogoro kamanda Hamisi Issa

Bwana alitoa na Bwana ametwaa , jina la Bwana lihimidiwe

=====

Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala, Bw. Kafuge Joel amefariki dunia kwenye ajali ya gari iliyotokea leo mkoani Morogoro. RPC Morogoro Hamisi Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
 
Bila undani wa sababu ya ajali: Muhimu kila mtu azingatiesheria za barabarani. Wenye bendera hawafuati sheria za barabara
 
Morogoro. Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, Kafuge Joel amefariki katika ajali ya gari iliyotoka Dumila mkoani Morogoro.

Akizungumza leo Jumamosi Septemba 21, 2019 mganga mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, Dk Ritha Lyamuya amethibitisha kupokea maiti mbili, ikiwemo ya katibu huyo pamoja na majeruhi wawili.

Credit : Mwananchi
 
Mkuu kwani RPC Mutafungwa kahamishiwa wapi?
 
Huyo Hamis Issa ni mtu wa kazi sana namfahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…