TANZIA: Katibu wa CCM Ilala afariki Dunia

Huyu aende tu!! Alitaka kuzingua kwenye kukodi viwanja vya Jangwani!
Alikuwa akishirikiana na Masabuli kuandaa wahuni waandamane kwenda makao makuu ya Chadema wakijifanya eti ni wafuasi wa Slaa.
 
Haya sasa,siombei wala sifurahii ila hili liwe funzo kwetu sote.
Kuna member humu wale wenzetu wa CCM kila siku kumkashifu Lowassa,wengine wanaenda mbali hadi wanamuita maiti....Astaghfirullah!
USIKOSOE,HUJAUMBA EWE MWANAADAM!
 
Huyu jamaa alimtukana Lowasa akisema ikulu hakuna bajeti yamazishi. Duh. RIP katibu
 
Haya sasa,siombei wala sifurahii ila hili liwe funzo kwetu sote.
Kuna member humu wale wenzetu wa CCM kila siku kumkashifu Lowassa,wengine wanaenda mbali hadi wanamuita maiti....Astaghfirullah!
USIKOSOE,HUJAUMBA EWE MWANAADAM!

Mmmmhh!!! Nilifikiri ni mimi tu:cool:
 
Haya sasa,siombei wala sifurahii ila hili liwe funzo kwetu sote.
Kuna member humu wale wenzetu wa CCM kila siku kumkashifu Lowassa,wengine wanaenda mbali hadi wanamuita maiti....Astaghfirullah!
USIKOSOE,HUJAUMBA EWE MWANAADAM!

Ni mange ajifunze kwa mtu alie mdhihaki lowasa kwa kusema ikulu hakuna bajeti ya wagonjwa Leo hii katangulia yeye. Mungu ampumzishe mahali anapo stahili.
 
Huyu aende tu!! Alitaka kuzingua kwenye kukodi viwanja vya Jangwani!

naona unakuwa wa kwanza kuhukum makosa ya mwenzako na unaunga mkono na kufurahia kifo chake.

Weka sherehe bas ww na familia yako maana aliyetaka kuwakatalia uwanja ndio hayupo tena na hutamwona wala kumsikia tena na wala hutopata pingamiz la uwanja tena.

Furahi na kushangilia kwasababu ww utaishi milele juu ya hii dunia.
 
poleni wana sisim....
sasa hapa kila anaye nao au aliyemkashifu lowasa ...Marimbo joto... malipizi ni hapa hapa... dhihaki ni mbaya Sana..

Kama ulimdhihaki kaombe tuu msamaha au hamia cdm nao umpigie kura.
 
Kifo kipo tu na kuumwa kupo tu ndugu zangu hata kwa wale wenye midomo michafu ya kuwasema wengine ktk majukwaa ya kisiasa kuwa "....oooh anaumwa huyo, ooh jeneza linalotembea hilo" , waangalie vyema afya zao kwa sababu tunaweza kuanza kuwazika wao!!

CCM jifunzeni kuheshimu mambo ya asili na uumbaji wa MUNGU. Kamwe Mungu hadhihakiwi!!

Na ajidhaniaye amesimama, na aangalie asianguke!!

Poleni wote waliofiwa na ndugu yao huyo na CCM wote wastaarabu na wenye mapenzi mema na heshima na utu WA binadamu wa mtu mwingine!!
 
naona unakuwa wa kwanza kuhukum makosa ya mwenzako na unaunga mkono na kufurahia kifo chake.

Weka sherehe bas ww na familia yako maana aliyetaka kuwakatalia uwanja ndio hayupo tena na hutamwona wala kumsikia tena na wala hutopata pingamiz la uwanja tena.

Furahi na kushangilia kwasababu ww utaishi milele juu ya hii dunia.

mkuu umeongea maneno mazito sana.......sasa uwaambie na wale makada wa ccm wanaofurahia ugonjwa wa lowasa na kumuita maiti/roboti inayotembea

waambie Mungu ndo mpaji wa uzima na afya tulizonazo!!!
 
Na bado wengi..kwani mungu hapingwi na aliye muumba..amesikia kilio cha wengi..sasa analikomboa taifa lake..sasa nyie jichanganyeni na maovu yenu badala ya kutubu..na muache kazi ya mungu....na si hapa nikazi tu za kitapeli..
 
Wafetuu wamezidi mno kuchoooonga kamawao hawajui kuumwa matokrp Yale ndooohayo ikulu nyeupe .naataenda kuzimwi
 
Je na yeye nyumbani kwake hakuweka bajeti ya kujozika?KIFO NI HAKI YA KILA MWENYE UHAI..SASA HAO AMBAO WANAMWITA E.L. MGONJWA..ENDELEENI KUPIGA PUSHU THENTAONA MSIYOAMINI..
 
Mh. Lowassa awaombee msamaha hawa jamaa wasije wakapukutika kabla hajaingia ikulu! Wamemnanga sana huyu Mzee kuhusu afya yake! Kumwombea mtu kifo siyo vizuri lakini hapa kifo kinastahili! Amebaki Mange Kimambi!!
 
Back
Top Bottom