habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
ha ha ha ha aaaaaaaaWatoto wawili tu?, huyu alikuwa mvivu wa kufyatua watoto mbona wao kwenye tumbo lao walikuwa wanane, RIP kapteni
RIP kapten
ha ha ha ha aaaaaaaaWatoto wawili tu?, huyu alikuwa mvivu wa kufyatua watoto mbona wao kwenye tumbo lao walikuwa wanane, RIP kapteni
Huyu ni legendary kweli kweliii....Ndio siku ya miaka 50 ya Muungano alikuwa anaichezeachezea ile Gulfstream ya Rais hewani.RIP Capt Mhaiki,pilot mzoefu sana huyo mzee!Mungu amlaze mahali pema peponi.
Watoto wawili tu?, huyu alikuwa mvivu wa kufyatua watoto mbona wao kwenye tumbo lao walikuwa wanane, RIP kapteni
Interesting rubani wa marais wetu wote watano na ameacha watoto wawili na wadogo zake wapo nje. Aisee itabidi nikaze buti.
Lala mahali salama captain
Mwanae mmoja ni rubani,anarusha ndege za kampuni ya Coastal Aviation.Interesting rubani wa marais wetu wote watano na ameacha watoto wawili na wadogo zake wapo nje. Aisee itabidi nikaze buti
Muulize Oliver aliyetoa hii habari je ni ya kweli?Interesting rubani wa marais wetu wote watano na ameacha watoto wawili na wadogo zake wapo nje. Aisee itabidi nikaze buti
Huyu ni legendary kweli kweliii....Ndio siku ya miaka 50 ya Muungano alikuwa anaichezeachezea ile Gulfstream ya Rais hewani.
Amerithisha kazi hii mwanae mmoja anaitwa Mathew Mhaiki,ni rubani wa ndege za kampuni ya Coastal Travel.Sema dogo anaijua ndege sana,kama kazaliwa nayo;Tatizo ni mitungi...Kama alizaliwa kwenye vinu vya TBL
Pumzika kwa amani Bambo Mhaiki...Utakumbukwa daima
Si kweli ninaowajua ni Zaidi ya wawili kwa nini Oliver anaficha? Anamficha nani? Au alighafilika? Pumzika kwa amani Baba DDuuh huyu mkuu alikua mvivu kufyatua watoto yaani watoto wawili tu daah, mbona faru john cena alikua na watoto 26
Mungu ampe pumziko la milele amen