Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,086
- 13,990
Chadema tawi la mwendo mdundo v/60 ifakara tunasikitika kutangaza kifo cha mwanachama mwenzetu bi Mwacheni Kinongo, au mama komba kilichotokea juzi tarehe 01.10.2013. Tunazika leo saa tisa. Marehemu alikuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa kata. Pia alikuwa mwamasishaji kwenye mikutano ya chama. MUNGU alitoa mungu ametwaa jina la bwana libarikiwe.