jaji mstaafu Ernest Mwaipopo afariki kwa dunia kwa ajali ya gari Morogoro.
source ITV Breaking news saa 11.30
Ni jioni hii mkoani morogoro akiwa anatokea Iringa kuja Dar.
Ni mjumbe wa Kamati ya Katiba.
Mungu ailaze roho yake mahali panapomfaa, vipi mleta uzi, nini sababu ya kifo chake ugonjwa? Ajali au??
Sasa na wewe unauliza nini hicho tena?
Yaani mleta habari kaandika kwenye kichwa cha habari wewe bado unauliza sababu ya kifo chake? Ina maana heading yote wewe hukuisoma ulipoona tu afariki ukakimbilia kwenye keyboard?!! Watu wengine bwana!!!!
Mungu ailaze roho yake mahali panapomfaa, vipi mleta uzi, nini sababu ya kifo chake ugonjwa? Ajali au??
Hivi ni weusi wote au ni sisi wa-TZ tu?Watu weusi sisi hatupendi kusoma, ndio tabia yetu
Junior MemberArraySasa na wewe unauliza nini hicho tena?