Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
hahaha mzee alikuwa na busara sana, yaani uki tazama vipindi vyake lazima uelewe maana ya utu.Huyu sio kama mahakimu na majaji wetu akina Mwanga ambao wakiwa kizimbani wanatoa hujumu wanasoma ujumbe wa maelekezo kutoka juu.
True manJaji Frank Caprio aliaga dunia kwa amani akiwa na umri wa miaka 88 baada ya vita vya muda mrefu na vya ujasiri dhidi ya saratani ya kongosho.
Akipendwa kwa huruma, unyenyekevu, na imani yake isiyoyumba katika wema wa watu, Jaji Caprio aligusa maisha ya mamilioni ya watu kupitia kazi yake katika mahakama na kwingineko.
Uchangamfu wake, ucheshi, na fadhili zake ziliacha alama isiyoweza kufutika kwa wote waliomjua.
Atakumbukwa sio tu kama jaji anayeheshimika, bali kama mume aliyejitolea, baba, babu, babu na rafiki. Urithi wake unaendelea katika matendo mengi ya fadhili ambayo aliongoza.
Kwa heshima yake, na tujitahidi kila mmoja wetu kuleta huruma zaidi ulimwenguni - kama alivyofanya kila siku.
View attachment 3447880
Kumbe wakili nasoro ni wa kahama?kwani jaji wa lisu na wakili nasoro katunga wa nyasubi kahama mjini wanajisikiaje wakifa
yap, ruling style ya case zake ni zaidi ya fundisho.True man
Vipindi vyake vinafundisha sana umuhimu wa kuwa mnyenyekevu unapokuwa na mamlaka na kwenye nafasi ya kutoa maamuzi.hahaha mzee alikuwa na busara sana, yaani uki tazama vipindi vyake lazima uelewe maana ya utu.
Naam sahihi kabisa.Vipindi vyake vinafundisha sana umuhimu wa kuwa mnyenyekevu unapokuwa na mamlaka na kwenye nafasi ya kutoa maamuzi.
Ameacha alama kubwa ambayo haitafutika katika fani na medani za Sheria na haki.
Huku kwetu mahakimu au majaji wakifa inatakiwa vijinga vya moto wa Kuni vichomekwe kwenye vinyeo vyao ili majaji na mahakimu walio hai wajifunze kutenda haki.
Bora umefafanua maana nilitaka kushangaa hizo sifa kwa majaji wa hapa bongo wapi na wapi.Kwa wasio fahamu huyi ni jaji wa kule marekani, ambapo uendeshaji wake wa kesi uli vutia watu wengi Sana.
Na kupelekea kuanzishwa kwa caught in Providence show(iko YouTube).
Hahaha wetu wana wenge jingiBora umefafanua maana nilitaka kushangaa hizo sifa kwa majaji wa hapa bongo wapi na wapi.
Naam sawasawa kabisaDah, babu alikuwa poa sana huyu. Ndio wale mababu jembe yaani hadi ukiongea nae unaona unaongea na mzazi mlezi.
Msiba wake utawagusa wengi sana aisee. Nilikuwa namkubali sana huyu mzee.π’πͺ