GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,030
- 126,474
Leo Maajabu Kumbe Na Wewe Huwa Unaanzisha UZI Humu? Haya Maajabu Ya Kufunga Mwaka. MJEDA Hapa Ulijitutumua Kweli Hadi Kuipata Hii Taarifa Na Kuja Kuiweka Humu.Kwa wale mliosoma Mwalimu Nyerere Memorial Academy pamoja na SAUT-Mwanza!
Kijana mcheshi na mkweli ambaye alikua muajiriwa wa Azam Tv amefariki dunia usiku wa kuamkia jana! Na msiba uko Kiluvya, ataagwa kesho katika Ibada ya Kanisa Katoliki parokia ya Kiluvya (Kwa Komba) kuanzia saa tatu asubuhi kisha kuzikwa mkoani Morogoro!
Wengine wanamfahamu kama Victor Merry! Pumzika kwa amani bro!
![]()