Kijana mdogo na tegemeo la taifa tene aliyejikita kwenye fani yake tayari, inasikitisha. R.I.P Ismail.Kwa wale mliosoma Mwalimu Nyerere Memorial Academy pamoja na SAUT-Mwanza!
Kijana mcheshi na mkweli ambaye alikua muajiriwa wa Azam Tv amefariki dunia usiku wa kuamkia jana! Na msiba uko Kiluvya, ataagwa kesho katika Ibada ya Kanisa Katoliki parokia ya Kiluvya (Kwa Komba) kuanzia saa tatu asubuhi kisha kuzikwa mkoani Morogoro!
Kijana mdogo na tegemeo la taifa tene aliyejikita kwenye fani yake tayari, inasikitisha. R.I.P Ismail.
Kwenye red hapo nimeangali jina na utaratibu wa kuaga nikawa sijaelewa, mwenye mwanga kidogo atuangazie.
Ni mkristu kwa jina la Victor!
May his soul rest in the right place.
Usemacho ni kweli! Nimekua nikifanya nae kazi kila siku katika maeneo mbali mbali..Nitamkumbuka! Nina miss ucheshi na utani wake! Mungu amuongoze Mkewe na familia!
Pumzika kwa amani Baba Neon!
hv hajasoma forodhani secondary maana nna mfananisha,r.i.p bro
Aisee!!! Kwa hiyo hilola Ismail lilikuwa la kupatia kazi au kufanyia kazi!?Ni mkristu kwa jina la Victor!