Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,468
Kwa wale mliosoma Mwalimu Nyerere Memorial Academy pamoja na SAUT-Mwanza!
Kijana mcheshi na mkweli ambaye alikua muajiriwa wa Azam Tv amefariki dunia usiku wa kuamkia jana! Na msiba uko Kiluvya, ataagwa kesho katika Ibada ya Kanisa Katoliki parokia ya Kiluvya (Kwa Komba) kuanzia saa tatu asubuhi kisha kuzikwa mkoani Morogoro!
Wengine wanamfahamu kama Victor Merry! Pumzika kwa amani bro!