TANZIA: Great Thinker mwenzetu, Lwitiko Edward Matipa amefariki

TANZIA: Great Thinker mwenzetu, Lwitiko Edward Matipa amefariki

Du poleni sana wanafamilia na jamaa wote.He was my mate at Lugalo sec school Iringa.R.I.P brother
 
Poleni wafiwa pumzika kwa Amani Lwitiko
 
Poleni wafiwa pumzika kwa Amani Lwitiko
 
Katangulia mdg wetu,nimesoma na dadake huyu kjn maskini,pole ya wife kwa kweli
 
Rip...ni njia yetu sote yeye katangulia siye tunamfuata nyuma.
 
mahubiri ya namna hii aisee yanatisha sana jaman!maana wote tumezaliwa na wanawake dah
Yah yanatisha but yameshaandikwa na ni lazima tuyaishi na wenzetu kama hivi wameshayaishi kwa vitendo basi hatuna namna zaidi ya kusubiri na yetu ifike.Mungu amrehemu!
 
Back
Top Bottom