TANZIA: Gavana wa Nyeri nchini Kenya Wahome Gakuru afariki kwa ajali ya gari

MK254,
Poleni kwa msiba wa Gavana wa Nyeri. Ila katika video clips za ajali ya helicopter iliyotokea Lake Nakuru na ajali hii mbaya ya barabarani ya leo naona kuna mtu mmoja akihojiwa na amekuwepo ktk maeneo ya ajali zote mbili, hii ni nini? Tutazame video clip za ajali zote mbili sehemu, siku, wiki tofauti lakini shuhuda yupo maeneo yote.

Governor Wahome Gakuru road accident as narrated by a witness 07 Nov 2017

Lake Nakuru helicopter crash 21 Oct 2017
 
Mkuu bagamoyo, kwanza asante kwa kuleta clips hizi. Huyu jamaa ninamasha naye mno, nahisi huyu anawahi tu kwenye matukio ya ajali ili kuleta sintofahamu kwa jamii.

Ebu sikiliza maelezo yake kuhusu Dr Wahome Gakuru utafahamu.
 
MK254,
Poleni kwa msiba wa Gavana wa Nyeri. Ila katika video clips za ajali ya helicopter iliyotokea Lake Nakuru na ajali hii mbaya ya barabarani ya leo naona kuna mtu mmoja akihojiwa na amekuwepo ktk maeneo ya ajali zote mbili, hii ni nini? Tutazame video clip za ajali zote mbili sehemu, siku, wiki tofauti lakini shuhuda yupo maeneo yote.

Governor Wahome Gakuru road accident as narrated by a witness 07 Nov 2017

Lake Nakuru helicopter crash 21 Oct 2017

Some shit is going down...
 
Gavana wa kaunti ya Nyeri nchini Kenya Wahome Gakuru amefariki mapema siku ya Jumanne kufuatia ajali mbaya ya barabarani katika eneo la Kabati katika barabara kuu ya Thika-Sagana katika kaunti ya Murang'a.Alikimbizwa katika Hospitali ya Thika Level 5 kwa matibabu ya dharura lakini akaaga dunia.Kaunti kamishna wa Murang'a John Elungata alithibitisha kifo hicho.Bwana Elungata alisema kuwa kabati ni eneo hatari na madereva hukosa mwelekeo kila kunaponyesha.Maafisa wa polisi wanasema kuwa gari la gavana huyo lilikuwa na abiria wanne wakati wa ajali hiyo ,akiwemo msaidizi wake wa kibinafsi, mlinzi wake na Dereva.Mkono na mguu wa msaidizi wake wa kibinafsi ilivunjika huku miguu ya mlinzi wake ikijeruhiwa vibaya huku Dereva akidaiwa kuwa katika hali nzuri.Polisi wanasema kuwa ajali hiyo ilitokea baada ya gurudumo moja la gari hilo kupasuka wakati mvua kali ilipokuwa ikinyesha.Mwili wa Gavana huyo umesafirishwa hadi katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Lee mjini Nairobi.Inadaiwa kuwa Gavana huyo alikuwa akielekea kuhudhuria kipindi kimoja cha radio na runinga wakati gari lake lilipokumbwa na ajali hiyo.Daktari Gakuru ni Gavana wa pili wa Nyeri kufariki afisini baada ya Gavana Nderitu Gachagua kufariki mwezi Februari mwaka huu.
f4058601bd5c7fa6170d52065c6549ab.jpg
 
Published on 8 Nov 2017
Police looking for chopper, Gakuru crash witness
Police chief Joseph Boinett has ordered investigations into the identity of a man who has caused a sensation by claiming to have witnessed the accident in which Nyeri governor Wahome Gakuru died and last month's Nakuru helicopter accident.

Source: Citizen Kenya TV
 
Back
Top Bottom