Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,985
Kwa wenyeji wa Ukonga na maeneo ya jirani wanamfahamu huyu jamaa(JALUO PUB).
Ni yule jamaa wa Kituo cha "Kwa Diwani" kule Moshi Bar Mombasa ambaye aliwahi kuwa diwani kipindi cha nyuma.
Kuna jumba kubwa la kigae na Bar ilikua imeandikwa JALUO PUB kipindi cha nyuma. Nnamfahamu kwa jina moja Kaseno.
Ana wadogo zake wanafanana nae sana mpaka sauti na mara chache amewahi kuwania uwakirishi bungeni lakini akadunda.
Huyu bwana amefariki leo jioni!!!
R. I. P mh diwani mstaafu!!!!!
Wadau nimepata jina lake, ni ndg Johannes Osanga Kaseno ambaye pia aliwahi kuwa naibu meya wa ilala 2008 - 2010.