Tanzia: Diwani wa CHADEMA afariki dunia (Bunda)

Tanzia: Diwani wa CHADEMA afariki dunia (Bunda)

Mungu amlaze mahali panapostahili.

Poleni wafiwa
 
umepigana kadiri ya uwezo wako kamanda,pumzika kwa amani
 
Mungu amlipe anachostahili kwa kuisaliti Ccm na kujiunga na chama cha wabaguzi, waroho wa madaraka, mafisadi, wadini, wakabila, wakanda, wauwaji.
 
Diwani wa Chadema kata ya Nyasura wilaya ya Bunda ndugu Zamberi Mwisarya Ngobayi amefariki dunia jana tarehe 28.10.2013 ktk hosp ya Bugando Mwanza kwa ugonjwa wa moyo. Bwana ametwaa!

Sema diwani wa nyasura kupitia chadema amefariki bana. Alichaguliwa na wananchi na akathibitishwa. Mbona jk haitwi rais wa ccm? Kiswahili kigumu eeeh! BTW r.i.p kamanda.
 
Sema diwani wa nyasura kupitia chadema amefariki bana. Alichaguliwa na wananchi na akathibitishwa. Mbona jk haitwi rais wa ccm? Kiswahili kigumu eeeh! BTW r.i.p kamanda.

JK ni rais wa ccm, nec na tiss!
 
Mungu amlipe anachostahili kwa kuisaliti Ccm na kujiunga na chama cha wabaguzi, waroho wa madaraka, mafisadi, wadini, wakabila, wakanda, wauwaji.

Mkuu kama cdm wanayafanya yote hayo basi kawashitaki kwa msajili ili kifutwe vinginevyo futa kauli
 
Mungu amlipe anachostahili kwa kuisaliti Ccm na kujiunga na chama cha wabaguzi, waroho wa madaraka, mafisadi, wadini, wakabila, wakanda, wauwaji.

Naona umeamua kuwatole uvivu magamba kwa staili ya aina yake.huu ni wakati wa ccm kutubu na hongera kwa kuwakumbusha.
 
Mwenyenzi MUNGU mwingi wa rehema na ampe pumziko la Milele Diwani katika shamba lake Bwana wetu aliye hai na hata sasa!
 
Bwana ametoa,bwana ametwaa jina lake lihidimiwe !
 
Rest in Peace komredi ,haya yote yanatokea ili utukufu wake yeye aliye juu utimie.
"One love, one heart, one destiny."
 
kwa maana kuitetea cdm ni sawa na kuitetea jamii basi bila shaka mwenyezi mungu atamuweka mahali anapostahili .
 
Back
Top Bottom