Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Songwe Yakubali Mwaliko wa Mbunge wa Jimbo la Momba

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,326
1,113

KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA SONGWE YAKUBALI MWALIKO WA MBUNGE WA JIMBO LA MOMBA CONDESTER SICHALWE

Na. Mwandishi Wetu-Momba

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe Radwall Mwampashi leo tarehe 13 Julai 2024 akiwa ameambatana na Wajumbe wa kamati ya siasa ya mkoa huo wameitika ombi la wito wa Mbunge wa Jimbo la Momba Mheshimiwa Condester Michael Sichalwe (Mundy) la kuhudhuria moja ya mikutano mbalimbali ya Chama na Serikali ambayo anaendelea nayo ndani ya Jimbo hilo.

Akizungumza kwenye kikao hicho kilichohusisha wanachama wa CCM kata ya Mkomba, Mwenyekiti Mwampashi amemshukuru na kumpongeza Mbunge Condester Sichalwe kwa kazi kubwa anayo ifanya ya kuwapenda wanachi wa jimbo la Momba na kufanya kazi kwa bidiii.

Amesema kuwa Sichalwe amekuwa Mbunge wa mfano kwa mkoa wa Songwe, kwa kuja na programu ya kujenga ofisi za CCM kata zote kumi na Nne (14) za jimbo la Momba, kwani jambo hilo linatekezwa kwa jimbo Momba pekee.

"Tunakushukuru na kukupongeza sana Mheshimiwa Condester Sichalwe, kwa


 
Back
Top Bottom