Tanzia: Brigedia General Jason Musikula afariki dunia

Tanzia: Brigedia General Jason Musikula afariki dunia

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,908
Kaka yetu kipenzi ameaga duni leo alfajiri, nenda kwa amani kaka yetu Mungu akupumzishe salama
 
Kaka yetu kipenzi ameaga duni leo alfajiri, nenda kwa amani kaka yetu Mungu akupumzishe salama

What happened? The former command and staff college chief instructor just retired recently, healthy and strong!
 
itakuwa diabets au pressure hiyo , Mungu amrestishe in peace
 
RIP Brigadier General Musikula ni kati ya ma Col 28 waliopandishwa cheo kutoka Col hadi Brigadier General 20 Jan 2014 na Rais Kikwete.Brigadier Musikula alistaafu utumishi wa jeshi hivi karibuni.
 
Nadhani ingekuwa busara kutujulisha huyu ni nani?

Raha ya milele umpe ee BWANA.....
 
What happened? The former command and staff college chief instructor just retired recently, healthy and strong!

Amefariki ghafla baada ya kuanguka bafuni, alistaafu but akaitwa tena kurudi kazini, nna undugu naye wa kiukoo. Tunasubiri kuupokea mwili wake Bukoba j3, R.I.P Kamanda
 
andika wasifu Wa marehemu maana Huyo ni kaka na ndugu yetu sote.Mungu awape moyo Wa uvumilivu na roho ya marehemu RIP
 
Back
Top Bottom