Tanzia: Baba yake Jery Muro afariki dunia

Tanzia: Baba yake Jery Muro afariki dunia

dudumizi09

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
76
Reaction score
120
Jamni inasemekana mwandishi jery muro amefiwa na baba yake .....

Mungu amrehemu marehemu amina..
 
Hicho kichwa cha habar kilivyo kamaa! rip wafiwa
 
kwa jinsi huyu jamaa alivyo na nyodo na maeneno ya kifedhuli nina uhalkika huu msiba atakuwa yopo yeye na Manaji tu majirani wanaendelea na mambo yao mengine ikiwemo kusikiliza vipindi vya leo tena kule klaudsiiii efuemee
 
Back
Top Bottom