Tanzia: Baba mzazi wa mb. Hamis Kigwangallah afariki

Tanzia: Baba mzazi wa mb. Hamis Kigwangallah afariki

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,650
Katika ujumbe aliopost facebook
Hkigwangallah mbunge Tabora ni kwamba Baba yake mzazi ameaga dunia.

Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
 
Pumzika mzee bagaile ..mtoto wako said bagaile aka hamisi kingwangala tuko naye nasikitika hutaona akiapishwa kuwa rais mwezi oct 2015
 
Pumzika mzee bagaile ..mtoto wako said bagaile aka hamisi kingwangala tuko naye nasikitika hutaona akiapishwa kuwa rais mwezi oct 2015

Said?.Kumbe ana majina mawili!
 
Pumzika mzee bagaile ..mtoto wako said bagaile aka hamisi kingwangala tuko naye nasikitika hutaona akiapishwa kuwa rais mwezi oct 2015

RIP mzee, ila mwanao amekutoa kafara agombee Urais mwaka huu
 
Napenda kuungana na ndugu na marafiki wote kutoa salaam za pole na rambirambi kwa msiba mkubwa uliompata rafiki yetu Dr. Hamis Kigwangala. Kama kuna msaada wowote utahitajika kutoka kwetu Wizarani, tutakuwa tayari kusaidia.
 
Dr kugangwallah kapatwa na tatizo gani???? funguka ndugu!!!
 
Ni msiba mtu kafa au ndio mambo yao ya SI HASA...?.
 
Mleta maana ni kichwa maji... Huwezi sema juu ya msiba bila kutoa taarifa kamili!
 
babaye na kigwangala ametutoka leo nchini india akiwa katika matibabu ya moyo.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/801223-mzee-kigwangalla-afariki-dunia-huko-india-8-feb-2015-a.html#post11866638
 
RIP mzee, ila mwanao amekutoa kafara agombee Urais mwaka huu

R.i.p mzee kigwangala,hivi marehemu sindiyo aliyemlipua mwanae khamis kigwangala kuwa hamjali,hamtumii hela za matibabu?jamani sasa sijui mgombea urais wetu kigwangala khamisi sijui alimuomba radhi baba yake kabla hajafariki,but all in all baba ni baba,r.i.p mzee wetu
 
Tutaona mengi mwaka huu wa uchaguzi........!
Januari Makamba, unampango gani na kale kadingi? kahurumie basi...!
 
Ana majivuno sana Khamis, nilimuona kipindi cha Bunge la Katiba. Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema.

Back
Top Bottom