The Ideologist
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 483
- 244
Pumzika kwa Amani Mzee wetu
ndio mkuuUnamaanisha Mohammed Said??
Baba yake mdogo Dully Sykes.
Baba yake Dully anaitwa Ebby(baharia) amezaliwa tumbo moja na huyu Kleist. Baba yao ni Abdulwahid mtoto wa Kleist Snr(Mzulu)
Ndugu zangu,RIP Kleist Sykes,
Sorry, hili la Mohamed Said kuleta Wasifu wa Marehemu unakua kama unamuamuru, unamuomba au unapendekeza??
Ndugu zanguni,Ulale pema peponi mzee Kleist Sykes. Umeimaliza safari yako, sisi tuliobaki tutapita njia hiyo hiyo.
Naikumbuka sana ile hadithi uliyotupa pale kwenye maghorofa ya jirani na ocean road mwaka 2001 tukiwa kwenye kusanyiko la watu walioishi mitaa ile ya gymkhana mpaka ikulu, hadithi iliyohusiana na wakati wa masomo yako nchini Canada.
Ukaenda kwenye msiba wa wazungu ukiwa umeshazoea misiba ya kitanzania ya mtu kujiendea tu halafu ghafla mwanafunzi mwenzako akakuita chemba akakuambia kuwa alikupa tu taarifa ya yeye kufiwa ila hakukwambia kuwa unahitajika pale makaburini!!.
RIP Mzee Sykes.
Nimeona neno moja muhimu hapo. Ni Jina la kabila la mama!Kleist Sykes (1894–1949) was a Tanganyikan political activist. He helped form the Tanganyika African Association.
Sykes was born in Pangani to father Sykes Mbuwane, a Zulu mercenary hired by the German Empire, and a Nyaturu mother. After his father died, Sykes moved with his godfather, Effendi Plantan, to Dar Es Salaam, and would later fight for the Germans in the First World War.[1]
After the war, Sykes worked for the Tanganyika Railway. He met Dr. James Aggrey, a Ghanaian teacher, who inspired Sykes to form the Tanganyika African Association (AA) in 1929, along with friends including Mzee bin Sudi, Cecil Matola, Suleiman Mjisu and Raikes Kusi. In the 1930s, AA members built the organization's headquarters at New Street, where the Tanganyika African National Union would later be created in 1954.[1]
Sykes was the first African to join the Tanganyika Chamber of Commerce, and the second African to serve in colonial Dar es Salaam's Municipal Council.[1]
Sykes had three sons, Abulwahid, Ally, and Abbas, who would also have prominent careers in Tanzania.